The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 986
- 2,000
Nakupenda kama ninavyopenda mke wangu.πKabisaa Shem hujakosea π₯π₯
πΉπΉπΉ Sifa za uongo sizitaki..!!
Kaumba ~ Damian soulUongo sio mzuri afu hupendezi kuwa muongo πΉπΉ
Ili upunguze kuzururaAfu kwanini leo umefuta chap ivyo
Ndo unafaidi mwenyewe
Shem yamekua hayo? πΉπΉNakupenda kama ninavyopenda mke wangu.π
Aya nimtulia.hapa nipe ata view once na mimi nikusifie sasa ππ€Ili upunguze kuzurura
Hamniiti mkiselfikaπππΉπKufaidi vipi wakati, mimi na Lamomy sio wapenzi?
Kwani wewe umeona? πΉKuna sifa gani ya uonho hapo?
Wewe kuselfika utakiHamniiti mkiselfikaπππΉπ
Hio.picha irudiwe basi π€πWewe kuselfika utaki
Nafurahishwa na pirika zenu za kunijaza..!! πΉπΉKaumba ~ Damian soul
Kwani Kuna dhambi shemeji πShem yamekua hayo? πΉπΉ
Em mtongoze aache wenge..!!Kufaidi vipi wakati, mimi na Lamomy sio wapenzi?
Siku nyingine tena πΉAya nimtulia.hapa nipe ata view once na mimi nikusifie sasa ππ€
chat kwa picha dawiriHio.picha irudiwe basi π€π
Hamna dhambi sisi ni mashemeji..!! πΉKwani Kuna dhambi shemeji π
Em mtongoze aache wenge..!!
Na tukipeana kidogo Kuna tatizo ?πHamna dhambi sisi ni mashemeji..!! πΉ
Sijaona mkiselfika humu sasa itakuwaje jmnichat kwa picha dawiri