Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni kweli mjukuu

Kwa wale ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, hakuna haja ya kumwonesha ufundi wote boyfriend/girlfriend wako sasa

Hifadhini kwaajili ya yule future husband/wife

Mwaka 47 tulikuwa na msemo wa "kula mbakishie baba" 🀭
Na kwa wale walio kwenye ndoa una neno gani Mzee mwenzangu?

Mimi kwenye harakati zangu ni Mzee Jackson Mihambo kabisaaa
Ni vyema kuacha kama una hizo tabia za Mzee Jackson, unajua kwa umri huu wa Uzee ukijichanganya kwa hao mabinti ni rahisi kupandishwa kisukari na presha

Maana yeye ana nguvu na uhitaji mkubwa wa tendo, wakati sisi Wazee hatuna nguvu za kwenda umbali mrefu

Hapo kifo ni nje nje πŸ˜…πŸ™Œ
 
Miwani yako iko vizuri babu! Ni bukheri wa afya hofu kwako!

Nimefurahi kusikia unaendelea vizuri mjukuu πŸ™

Haya macho ya Uzee yananiangusha babu yenu πŸ˜…

Nitaomba unisindikize kliniki yangu ya macho mwezi ujao, bila hivyo nitaishia kusikia sauti zenu badala ya kuwaona mkija kunisalimia πŸ€—
 
Mzee una maneno weye lo! Life has fucked me babu kupata muda wakuja kukusalimia ni kipengele !
 
Mzee una maneno weye lo! Life has fucked me babu kupata muda wakuja kukusalimia ni kipengele !
Ni furaha ya kukuona tu hapa, ndiyo maana simalizi maneno

Siku ukiniletea Kiko nitakuchinjia yule jogoo mkubwa mkubwa πŸ€—

Tuombeane uzima tu, mkipata nafasi hata mwakani sio mbaya πŸ™πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…