hauwezi amini fb nimejaribu kuielewa nimeshindwa kabisa ninyi mnasema sijui mmeanza kuichukia kipindi hiki utoto umekuwa mwingi mimi sijawahi kuipenda tangu inaanzishwa,, nikinunua simu nikiikuta naidisable kabisa sitaki hata kuiona kwa apps.. mie niko zangu jf na ig tu