Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa hizi kama imekufa nilikuwa active kipindi ilipoanzishwa nikapotea kwa miaka .

Mimi sikuwa kiongozi nilikuwa member tu , Kipenseli alitukanana mpaka na mods wenzake wakatandikana ban , ilikuwa nyumba ya fujo humo ๐Ÿ˜‚
Kwanza Penseli na mshamba ni mbwa na paka hawapatani.!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Penseli mkorofi ni jamii ya Chiwawa yule..!!

Member mlikua wangapi?
 
Wii wangu huyo mashallah ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Rangi ya mtume inawaka mpaka kwenye giza nene.. ๐Ÿ”ฅ

Kidoti OG kimekutoa sio kina Asha jibwa mpaka wachore na wanja wa maskala ๐Ÿ˜น

Naomba baibui wii na mi nivae stara..! ๐Ÿฅฐ
Baibui tu umepata my wiiiโค๏ธ
Uwe na usiku mwema mpendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ