Digitaldreamer
JF-Expert Member
- Jun 11, 2022
- 845
- 1,513
Ni status safi Sana haina makandokando, tumeachia wengine hizo KAZI, ila hela walete tuhTafuta kazi u jobless sio sifa π
Hutaki kupewa na funguo? πΉUmetumwa π π
La kwanza? πΉUkiona wewe unasema hivyo ujue kuna mambo hayaβοΈπ
Kumbe mie malaika sipendi helahaha hivi umefikaje huku!
Zaku clear vipengele vyako usiwaze
hahaha!Namleta umpe na funguo awe analipush mwenyewe na ule mlio wa teza sasa wohiii π
Muende Burundi mnaongeza joto nchini..!! πΉDaaah! Ila wewe
Hili joto ni Kali kama tuko jehanamu, hamna hata haja ya kuoga ni kuchezea majiMuende Burundi mnaongeza joto nchini..!! πΉ
Sikuhizi mnamsemo wenuKumbe mie malaika sipendi hela
Weee uliona wapiπ π π
Ngoja tuwapigie TMA πHili joto ni Kali kama tuko jehanamu, hamna hata haja ya kuoga ni kuchezea maji
Matapeli yale, hata wenyewe watakuwa wanashangaa hili jua vipi tena, yaani linagonga kisawasawaNgoja tuwapigie TMA π
Issue ni deepπ πLa kwanza? πΉ
Bismillah MashaAllah πNi status safi Sana haina makandokando, tumeachia wengine hizo KAZI, ila hela walete tuh
Sio hivyo bana πSikuhizi mnamsemo wenu
Namba hatukunyimi ila utakimbia mwenyewe.
Ila kwako naanzaje kutoka ndukiSio hivyo bana π
Hiko niliomba wakiweka ki emojiKiswaswadu chako kina hii emoji πΉπΉ
Aloooo I wonder
Kichuguu lazima ukimiliki iko πΉhahaha!
Mi ndomana nakukubali sana mchuchu!! Hutaki niteseke kabisa kwa vinavowezekana
Issue ni very serious πΉIssue ni deepπ π
Dollar zimekata tajiri yangu saiv nmekua kapuku wa kutupwa πMFALME WETU tajirii njoo uweke zile dollar