Yani chino ukikosa kichuguu hiko nitakuona fala sana na nitakufukuza home..!! ๐น๐นNalinda mgongo wangu!!
Hahaha naona unavonijazia nyama mchuchu Leo umejua kuniwekea gurdNa wewe ๐น
Mtu mpaka anamiliki tezaa ndo akose pesa?
Acha dharau na mume wetu..!
Jibu swali una helaNalinda mgongo wangu!!
MleteYa kwake, kama unataka kadi we nenda home akakuonyeshe..!!
Usiniletee za red black na chatungi ๐น๐นWewe si upo china hevean gelo sio sisi tupo huku mswekeni
Unaniona je udugu ๐ ๐ aiseeeYani chino ukikosa kichuguu hiko nitakuona fala sana na nitakufukuza home..!! ๐น๐น
Namleta umpe na funguo awe analipush mwenyewe na ule mlio wa teza sasa wohiii ๐Mlete
TCRA wameona mmezidi kushinda online ๐ ๐Hivi hii JF imekuwaje Leo, bila VPN haifunguki kabsa
Si mlishaambiwa muhame nchi ๐นHivi hii JF imekuwaje Leo, bila VPN haifunguki kabsa
haha hivi umefikaje huku!Jibu swali una hela
Kama hujui huwezi kuingia jukwaani bila VPN lazima wewe ni dayasiporaUsiniletee za red black na chatungi ๐น๐น
Mi nipo mtaa wa Congo hapa nimejaa tele napigwa na jua..!!
Chino fanya uninunulie sunscreen babe jua linanichoma mwenzio..!! ๐น
Majobless tuende wapi SASA, tunasubiria hela za kutegaTCRA wameona mmezidi kushinda online ๐ ๐
Nakuona malkia unayestahili soft life kutoka kwa chino wana man..!! ๐นUnaniona je udugu ๐ ๐ aiseee
Umetumwa ๐ ๐Ya kwake, kama unataka kadi we nenda home akakuonyeshe..!!
Ukiona wewe unasema hivyo ujue kuna mambo hayaโ๏ธ๐Nakuona malkia unayestahili soft life kutoka kwa chino wana man..!! ๐น
Daaah! Ila weweSi mlishaambiwa muhame nchi ๐น
Nyie itakua mnatumia simu kubwa, tumieni viswaswadu km vyetu uperuzi bila wasi..!!Kama hujui kama huwezi kuingia jukwaani bila VPN lazima wewe ni dayasipora
Tafuta kazi u jobless sio sifa ๐Majobless tuende wapi SASA, tunasubiria hela za kutega
Kiswaswadu chako kina hii emoji ๐น๐นNyie itakua mnatumia simu kubwa, tumieni viswaswadu km vyetu uperuzi bila wasi..!!