The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 868
- 1,799
Nakukumbuka dada yangu. Nakuona upo tunapishana tu Hapa. Si unajua maisha lazima yaendelee hata kama ni maumivu. Ila baada ya muda unashukuru unasahau Akili inakaa sawa.We mtu kwema vipi ile issue ili isha swalama
Kuna waliokataa wazee kwani 🤣🤣🤣🤣🤣 hili nalo neno. Maana haiwezekani hivi hivi tu. Ila nanyi mna tabia mbayaa kwanini mnakataa wazee?
Hahah sasa malerina mtoto mzuri anashindwa vipi kupita Bwashee 😅Mbona haupiti? Au upo bado upo kwenye foleni ? 🤣
Watu wakimuona min me hawapiti😹😹😹💔Mbona haupiti? Au upo bado upo kwenye foleni ? 🤣
Bhana mimi nishachoka kusubiri mbona unakuwa kama Yesu 🤣Watu wakimuona min me hawapiti😹😹😹💔
Hawawezi kupita kama wana migongo kama kobe mimi nikiwepo 😅Watu wakimuona min me hawapiti😹😹😹💔
Mwenye masikiriko na wewe nani jombaa mbona unajikuta kwenye hamna?Hahhaa nipo rada, halafu sijui kwa nini pisi chafu ndio zinakua na makasiriko na mimi 😅, hahaha tufanye kula bia tu rafiki yangu 😅
Leo.nipo off😹😹Hahah sasa malerina mtoto mzuri anashindwa vipi kupita Bwashee 😅
Mnawakataa wazee mwisho wanapata sonona za uzeeni, sio vizuri🤣🤣🤣Kuna waliokataa wazee kwani 🤣
Kuna wazee humu au kujitoa ufahamu
Mental health is real
Kuna haja ya kuanzisha clinic kupima kiwango cha makasiriko 🙌🏼
😹😹we ushasema hamna humu pisi hatupiti leoHawawezi kupita kama wana migongo kama kobe mimi nikiwepo 😅
😹we umeselfika wapi kwanzaBhana mimi nishachoka kusubiri mbona unakuwa kama Yesu 🤣
🤣🤣🤣😹we umeselfika wapi kwanza
Unalazimisha urafiki kwa watoto wa kike nao hawakutaki basi full mahangiko na makasiriko zee zima. Get a life.Hahhaa nipo rada, halafu sijui kwa nini pisi chafu ndio zinakua na makasiriko na mimi 😅, hahaha tufanye kula bia tu rafiki yangu 😅
Hamna cha kukataana hapaMnawakataa wazee mwisho wanapata sonona za uzeeni, sio vizuri🤣🤣🤣
Piteni tu uzuri mmoja nina mda mchache humu😅 ,na hapa natania tu 😅😹😹we ushasema hamna humu pisi hatupiti leo
Sawa😅Leo.nipo off😹😹
😹😹hizo unazoita pisi chafu ndo zinawakosesha usingizi wakaka wa humuHahhaa nipo rada, halafu sijui kwa nini pisi chafu ndio zinakua na makasiriko na mimi 😅, hahaha tufanye kula bia tu rafiki yangu 😅
Msimkatae mwenzenu, mnaona sasa anachanganyikiwa🤣Mwenye masikiriko na wewe nani jombaa mbona unajikuta kwenye hamna?