Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,570
- 55,130
Na nasikia lipo lipoHakuna haja najimaliza nipande mwenyewe tu sipendi kuhisi mtu kanisogelea kalio yaan najisikia vibaya sana
Na nasikia lipo lipoHakuna haja najimaliza nipande mwenyewe tu sipendi kuhisi mtu kanisogelea kalio yaan najisikia vibaya sana
Hahaha no unafki , hapa ni hukumu ya haki tu😅Wala hakuna maelekezo toka juu. Majaji wa ukweli. Tunahukumu kwa haki.
Imani yako habaKina nani mmekuja kuchukua picha zingine za kupeleka PM nakungulia nyuzi mpya?
Au sio haya we mwenye imani yenye ujazoImani yako haba
Noo sio wote list ya warembo nilitoa pia😅 sio kwamba ni wote ila kwa nilio bahatika kuwaona, hivyo bado nina nafasi ya kuona , na ni kwa jicho langu sio kwa wote.Ulishasema sisi wabovu, unataka uone nini tena...au ulikuwa umelewa
Na wala sio mara ya kwanza kuni quote kwamba picha nazichukuaAu sio haya we mwenye imani yenye ujazo
Ulisema wote 🤣Noo sio wote list ya warembo nilitoa pia😅 sio kwamba ni wote ila kwa nilio bahatika kuwaona, hivyo bado nina nafasi ya kuona , na ni kwa jicho langu sio kwa wote.
Nop nimetoa mfano wa watu wanaokuja selfika na ku screen shot picha na kuzipeleka PM huko baadae kufunguana nyuzi za kuwafanyia bullying wanawakeNa wala sio mara ya kwanza kuni quote kwamba picha nazichukua
Wewe sijawahi kukuona uki selfika ila unaomba picha za watu ndio maana ile siku nikakuuliza je na wewe ni wale waleNa wala sio mara ya kwanza kuni quote kwamba picha nazichukua
No nilitaja pia baadhi kwenye uzi wangu mwingine, kina binti kiziwi Depal na Angel Nylon Seran ambao macho yangu yalibahatka kuwaona ni wazuri.Ulisema wote 🤣
Nikakujibu kwa kauli yako uliyotoa maana tokea juzi unasemea hili jambo tena kwa namna ya kunilenga mimi, it's okay baki na unavyoelewaNop nimetoa mfano wa watu wanaokuja selfika na ku screen shot picha na kuzipeleka PM huko baadae kufunguana nyuzi za kuwafanyia bullying wanawake
Tabia ya hivyo na ya kishamba
Usirudie tenaNo nilitaja pia baadhi kwenye uzi wangu mwingine, kina binti kiziwi Depal na Angel Nylon Seran ambao macho yangu yalibahatka kuwaona ni wazuri.
Ni hao hao ndioWewe sijawahi kukuona uki selfika ila unaomba picha za watu ndio maana ile siku nikakuuliza je na wewe ni wale wale
Kwamba unanionya madam😅Usirudie tena
No nilitaja pia baadhi kwenye uzi wangu mwingine, kina binti kiziwi Depal na Angel Nylon Seran ambao macho yangu yalibahatka kuwaona ni wazuri.
OkayNi hao hao ndio
Kwamba unanionya madam😅
Okay
😹😹😹 Huyo mtoto hana adabu, tutamfunda mi na coca awe na adabu..!Sitaki hata kumsikia nimeitwa mzee
Sijui utanielewajeNikakujibu kwa kauli yako uliyotoa maana tokea juzi unasemea hili jambo tena kwa namna ya kunilenga mimi, it's okay baki na unavyoelewa