Fungua code kdg mkuuHakuna shangazk la peke yako mzee, hata kitaani. Ni ligi tuu, kukubwa ucheze UEFA.
Poleee ππ Steve Rogers muelezee
Asante sana dearOooh hapo sawa, ninao waona wengi sio rangi ya nywele, ni uchafu wao tu.
Hongera kwa kutunza ras, ni nzuri na zinavutia.
Guyzz!!
Mlale unono!! π€π€π€
π΄π΄π΄
Polee sanaMi nakuwa mentioned, nikifungua nakutana na "kuna changamoto". Ndio nini sasa jameni. Acheni picha hata dakika moja basi. π
Jitu lipo kama sumu kila linapokanyaga hata kama kulikua na amani baasi muda huo huo kunachafukaπππ mahi una mkataa kweupe hivi? Atajinyonga huyu dogo, aloooh.
Hahahhahahaπ€£ aisee... Ila we mkali balaa..πNitolee us&nge wako
Hukutosheka kwenda PM kwa mtu kumpelekea picha yangu huku unajikomba halafu unataka nikuchekee komaaaaa nikomeeeee Kafie huko
Aisee π€£ mbona ShesRise_1 mkali namna hiiJitu lipo kama sumu kila linapokanyaga hata kama kulikua na amani baasi muda huo huo kunachafuka
Hebu mie kwa herini
Weee usiniambie π πUsafi wa kuzidi ni moja ya sifa zangu tano za kupenda na kuoa mtu. π
Mwanamke vyovyote awavyo, akiwa msafi tayari kwangu ana C.
Polee sana
Weee usiniambie π π
Nikirudia nitakuita ngoja huyo mwenye utoto aondoke kwanzaHebu nifanyie hisani Chica, rudia picha hiyo. Na mimi nitakupa picha, ukihitaji. π
Onhoo basi hongera π€Ndo hivyo! Natoaga maksi za usafi, chini ya wastani basi. π
Asante sana, na kwako pia ulale salama
NNi huyooπ€£Nikirudia nitakuita ngoja huyo mwenye utoto aondoke kwanza
Nashukuru kaka.Poa mwanangu Steve, usiku mwema.
Oyaaa sitaki mazoea kuniquote kila muda fuata mambo yakoNNi huyooπ€£