Yaan huyu bebee wake sijui alimuokota wapi? Na anashindwa kumuelekeza aendane nae, sasa wee cheki ndula, hilo bwanga, utadhani wadudu wa chuga wa kike.Mtoto mdogo na mindula wapi na wapi? πΉ
Kakosa hata samba kweli?
πππNdio πΉ
Kesho wanaanza kuulizana, mpaka saa 6 JF ulikua unafanya nini?
Kuanzisha fujo au watajua umeenda kuibia watu simuπΉπΉπΉπΉkwa fallyWatanirudisha mlangoni watajua nimeenda kuanzisha fujo πΉπΉπΉ
πΉπΉπΉ wohiii wohiiiYaan huyu bebee wake sijui alimuokota wapi? Na anashindwa kumuelekeza aendane nae, sasa wee cheki ndula, hilo bwanga, utadhani wadudu wa chuga wa kike.
πππππ
Niliselfika apa mpk asbhiiiiiiiiii nakumention
π€£π€£π€£π€£mnanichekesha sanaYaan huyu bebee wake sijui alimuokota wapi? Na anashindwa kumuelekeza aendane nae, sasa wee cheki ndula, hilo bwanga, utadhani wadudu wa chuga wa kike.
πππππ
Kuna kiatu nimeselfika huko juuuπΉsijui mnaita ndulaSijaridhika Malle.
Ukinipa na hilo bwanga, kwishaaaaa πΉπΉπΉKuanzisha fujo au watajua umeenda kuibia watu simuπΉπΉπΉπΉkwa fally
Kuna kiatu nimeselfika huko juuuπΉsijui mnaita ndula
Kipo maana sitakifutaπSijakiona mie, umefuta chap.
Nakuambia, ukute bi harusi alimkubali bwana na hiyo rangi, akasema atotoe vitoto vya kimanga, siku ya harusi anaona giza sio giza, usiku sio usiku. Full tafrani, ikabidi achekee tu hapo. Haamini km ndio huyo bwana harusi, anatamani atangaze ukumbini hapo aliyemficha bwana ake amlete hapo kati, sio huyo, huyo ni msimamizi.πΉπΉπΉ Au bwana harusi kuzungukia michango kumemzeesha..??
πΉunajua napenda hilo ndula banaUkinipa na hilo bwanga, kwishaaaaa πΉπΉπΉ
Mwambie shem aache ujinga, akupe vitu vinavyoendana na age yako na muonekano wako..!!
πΉπΉπΉ Hata mi sikubali, una order kiranga unaletewa TlaatlaahNakuambia, ukute bi harusi alimkubali bwana na hiyo rangi, akasema atotoe vitoto vya kimanga, siku ya harusi anaona giza sio giza, usiku sio usiku. Full tafrani, ikabidi achekee tu hapo. Haamini km ndio huyo bwana harusi, anatamani atangaze ukumbini hapo aliyemficha bwana ake amlete hapo kati, sio huyo, huyo ni msimamizi.
πππππ
Hilo litakuletea fangasi za vidole we mchekee huyo shemeji..! πΉπΉunajua napenda hilo ndula bana
πππ jicho analiona Back American wangu tuu.We unapita ukitubania ata jichoπΉ
πππWatanirudisha mlangoni watajua nimeenda kuanzisha fujo πΉπΉπΉ
Nakuambia ukweli malle. ππππ€£π€£π€£π€£mnanichekesha sana
Nimeghaili gudubaiNipee mahii. πππ
Ila marks muhimu. Aloooh