Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe ๐นNdio atabana miguu
Japo sijauona nikiuona nitadataJamaa kaelewa mzigo. ๐
Siachi hela ujue, alinizoesha babu miga kunipa hela kwenye harakati za kumpambania utamu, ko nishazoea yaani.Binti unamlia dhamani udugu wako una roho ya paka
Hayo ndo maneno sasa umeona Malle ๐น๐นKwa hiyo huna hata account
๐๐๐๐ uduguu wee ni chizii ujue?Kwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe ๐น
Hii niachieniKwani wewe huna mbinu za kuiachanisha miguu? Urudi jandoni ukafundwe ๐น
๐๐๐๐ ila wewe, khaaahVijora unaenda kumsuta nani?
Nenda pm huko ukampe account ya bank akutumie hela ya skin care..!! Wee vipi km hujazaliwa bongo dar es Salam ๐น๐น
Nataka hela upendo tutatumia wake๐น๐น
Mchukue Malle muende wote akakusaidie kuandaa somo na meza ya bwana..!!Naongoza jumuia asubuhi, mbaki salama
KashasepaUtauona tuu, ataposti hapa Mallerina.
๐๐๐๐Mchukue Malle muende wote akakusaidie kuandaa somo na meza ya bwana..!!
๐น๐น๐น๐น ZCO unaye soon anakukamata umpe Lamomy wake..!!๐๐๐uduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.
Mwenzio nimejichanganya kwa jamaa wa magogoni na udugu kazingua, cha udalali nishakula, sijui narudishaje, mniombee naweza kuwa mteja wa Fwele boi mda wowote.
๐๐๐๐
Kwa nani papa pedeshee ๐ค
Me simtaki ๐น๐นhuyo anatosha kuwa baba yang kabisaSasa nakutetea vipi, wakati unapendwaa. Ni suala la wewe kuamua unapenda au hupendi. Jitendee haki, kama unampenda mshikaji, mwambie.
Nimeelewa nilikua nakuzingua kaka mzuri ๐Nikweli hiyo sehemu ni mbaya Kwa kweli ila ndio utafanyaje na mihangaiko ya Dunia๐
Atasoma litrugia nisome nenoMchukue Malle muende wote akakusaidie kuandaa somo na meza ya bwana..!!
Kitakulamba siku ๐Siachi hela ujue, alinizoesha babu miga kunipa hela kwenye harakati za kumpambania utamu, ko nishazoea yaani.
๐๐๐๐