Selfika na JF: Snap it. Show it

Yameisha chino tusirudi huko kwenye zama za giza tena 😘
 
Nilijitahidi kua kuwadi msela kaingia mitini udugu wako nae kamdomo😆😆
😂😂😂uduguu wangu usimkuwadie kwa mtu, utapata lawama.
Mwenzio nimejichanganya kwa jamaa wa magogoni na udugu kazingua, cha udalali nishakula, sijui narudishaje, mniombee naweza kuwa mteja wa Fwele boi mda wowote.
😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…