Tanzania si salama tena UKiwa mkosoaji wa serikali ya CCM avoid sana interaction yeyote na members wa jf kwenye maisha ya uhalisia hawashindwi kukuuza kama walivyomuuza polepole.Njoo tushinde huko tumpopoe samuya mpaka watuvizie watufilimbe๐ ๐
Halafu nimeshajua yule B ni kama ana ku crush
Intelijensia yangu haijawahi ku feli
Bi mzuri yeye hua anaziona na hua ana changia sanaBasi itakua tunapishana, kwenye nyuzi zako za siasa zipi hizo?
Jukwaa la siasa wananijua vizuri na mi ndo mfungua codes kule..!!
Nitajie huyo B basi mbona sijampata?
Usijal chino shem lake hata hivyo nataka ku change no yangu ya simu very soonTanzania si salama tena UKiwa mkosoaji wa serikali ya CCM avoid sana interaction yeyote na members wa jf kwenye maisha ya uhalisia hawashindwi kukuuza kama walivyomuuza polepole.
CHino anataka aendelee kukuona hapa siku zote
๐น๐น๐น Yule wala hanicrush wewe utakua umeona vibaya bana..!!Bi mzuri yeye hua anaziona na hua ana changia sana
Kwa heshima yake siwezi kumtaja humu ila ndio hivyo mambo ya code mi nilidhani utaifungua chapu
Unakumbuka siku alikuzungumzia akjifanya ana kutag kwa kukosea jina mimi nika kutag ?
Ni huyo na siku ile ile nilisanuka nikakausha
Next unitag mate akeIlikuwa flashback 2020
Hata nikikutag utakuwepo muda huo kweli mate? ๐นNext unitag mate ake
Binti nipo timamu na akili yangu inafanya kazi vizuri najua ninachosema๐น๐น๐น Yule wala hanicrush wewe utakua umeona vibaya bana..!!
Eti alijifanya kukosea kutag khaaa..!! ๐น
Niliona ile nikajua jina halijui vizuri, nawe mfukunyuku..!!
Yaaaniiiii ๐๐ปโโ๏ธHata nikikutag utakuwepo muda huo kweli mate? ๐น
Wao wanataka tue tunaongea habari za valvet za kina Mariam saula na mikuno ya nazi yao! Mkipatikana watu wachache mnaotumia akili zenu vizuri kwenye mambo ya msingi mnageuka kua maadui.Usijal chino shem lake hata hivyo nataka ku change no yangu ya simu very soon
Hakuna mtu kutoka humu atawasiliana na mi direct tutaishia Upenuni
Mi ujue wengi tu wananicrush na nikigundua nawachokoza makusudi na kuwakera ili waache kunichorea makopa..!! ๐น๐นBinti nipo timamu na akili yangu inafanya kazi vizuri najua ninachosema
Ilinichukua dkk chache kugundua anachowaza kukusu ila ndio hivyo analinda brand
Kuna signal alionesha kuanzia kujifanya anakosea kuku tag
Nilivyokutag akajifanya anapotezea nikajua lol hata wewe ๐ ๐ ๐๐ผ
Wajinga hatuwezi kujadili kei na mwenzie ukuni week nzimaWao wanataka tue tunaongea habari za valvet za kina Mariam saula na mikuno ya nazi yao! Mkipatikana watu wachache mnaotumia akili zenu vizuri kwenye mambo ya msingi mnageuka kua maadui.
Sasa jf wanavoiganga spana serikali ya CCM ni muhimu kukaa macho mda wote.
TUnawaamini na kuwapenda ndio wanaotusaliti siku zote
Wewe nawe una manzi? Em weka hapa tumuone, tatizo unanikubali kuliko huyo kijuso wako, hakupi vitu adimu ukatulia? Ni mshamba eeeh? Mlete kwangu nimfunde, nyakanga na kungwi nipo hapa, tena namkaanga buree. Nawapa offer yaan.Hata angekuwa mwanamke sidhani kama angemfikia manzi wangu... niliye naye ananitosha...
mi nataka nione tu picha ya kaka cocastic
Bebeeee, nimekujaa hapaa!! Em nikuone Black American wangu.Nimemfungia ndani Leo hatoki
Mbinu yako nzuri pole yao wanao ku crushMi ujue wengi tu wananicrush na nikigundua nawachokoza makusudi na kuwakera ili waache kunichorea makopa..!! ๐น๐น
Hii ni mbinu yangu pendwa kama umenisoma..!
Sitaki mapenzi yatawale wakati taifa linaangamia..!!
Yule lazima alinde brand we unaona rahisi kujionyesha? ๐น๐น
Umemuonaaa shem lakoo?? Mie sijawahi kufeli kwenye kuangukia kwa mtu.Shem leo kazi ipo..!! ๐น
Cocaaaaaaaaaa ๐ฃ
Njoo mumeo halfcast kashafika anapita naked..!!
Mlongo unataka mademu wa selfika uwazoe wee pekee ako? Wenzio watapumzikia wapiii??
Anawachanganya nini bebee wangu jamaniii??Hata naelewa basi.!!
Huyu babe wa coca anatuchanganya hapa..!!