Ilikuwa flashback 2020Umepita leo watu wamefaudu mi sijakuona.
Nimeshangaa sana kwanini tunakua hivi 🙌🏼🙌🏼 sema ndio hivyo watu tumetofautianaPenseli akija anazibeba km zilivyo unafunguliwa profile na kuanza kudhalilishwa..!!
Na huyo red black atakua miongoni mwao.!!
Usijali mkuu.Tuachane nayo hata hivyo sio muhimu..!!
Khaaaaa..!! 😹Mzuriiii kapita naked
Wanataka kuharibu uzi tu!Nimeshangaa sana kwanini tunakua hivi 🙌🏼🙌🏼 sema ndio hivyo watu tumetofautiana
Kumbe mkaka mzuri halafu unajitoa ufahamu, utakosa jiko shauri zako..!! 😹fck the world
View attachment 3692060
Hakuna shida wala nimeona kajaribu ku edit picha ya mtu kwa kutoa sticker nikasema sio sawaShesRise_1 na Red black nini shida ? Mchat kwa picha maneno kidogo
KashesheWanataka kuharibu uzi tu!
Wao hata hawaweki pic zao midomo tu..!! 😹
Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni mzuri sana we dada shida yako ukorofiiiKhaaaaa..!! 😹
Kwa sura ile mbovu
Nimekuelewa sana, lakini humu tu-refresh basi akili zetu. Asante kwa kunutetea 😍We nae si nilikua na kutetea
Nimekoma
Pita hivi 👍Nimekuelewa sana, lakini humu tu-refresh basi akili zetu. Asante kwa kunutetea 😍
Ngoja tumalizie honeymoon. Atarudi.Mtoe bana aje
Kuanzia leo naacha umbea na kila kitu, nitaanza kushinda jukwaa langu pendwa la siasa..!!Mnyonge Mnyongeni haki yake mpeni mzuri sana we dada shida yako ukorofiii
Kweli udugu wangu kachagua wa kuendana naye..!! Hongereni sana..!Ngoja tumalizie honeymoon. Atarudi.
Njoo tushinde huko tumpopoe samuya mpaka watuvizie watufilimbe😅😅Kuanzia leo naacha umbea na kila kitu, nitaanza kushinda jukwaa langu pendwa la siasa..!!
Fahari ya macho ya chinoKhaaaaa..!! 😹
Kwa sura ile mbovu
Kule nashinda sana na kuna muda nawapelekea moto, mate wangu binti kiziwi ananijua ndo maeneo yetu ya kujidai yale..!!Njoo tushinde huko tumpopoe samuya mpaka watuvizie watufilimbe😅😅
Halafu nimeshajua yule B ni kama ana ku crush
Intelijensia yangu haijawahi ku feli
Nilipokuona ndo nikakumbuka kama nilisema nakuja pm 😹😹Fahari ya macho ya chino
Hua nakuona mara chache chacheKule nashinda sana na kuna muda nawapelekea moto, mate wangu binti kiziwi ananijua ndo maeneo yetu ya kujidai yale..!!
Sasa hivi tu ndo nimepunguza.
Soon narudi..!!
B yupi anayeni crush na mwenyewe sijui? 😹
Basi itakua tunapishana, kwenye nyuzi zako za siasa zipi hizo?Hua nakuona mara chache chache
Na sijawahi kukuona kwa nyuzi zangu pia za kule
Huyo B itifaki imezingatiwa