binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,778
- 46,835
Umepita leo watu wamefaudu mi sijakuona.Nimepatia sema hutaki tu kunipa mpunga wangu..!! 😹
Kwanza selfika nimekumiss mutoto ya singidani..!!
Nakushangaa sana au there is something beyond usinifanye nikupe maneno mabaya.You too, don’t overstep your boundaries
Ila chivundu we wa moto🔥🔥🤣punguza hasira
We maneno mabaya ukitaka sema who cares bro keep goingNakushangaa sana au there is something beyond usinifanye nikupe maneno mabaya.
Step aside aise
OkWe maneno mabaya ukitaka sema who cares bro keep going
Mzuriiii kapita nakedUmepita leo watu wamefaudu mi sijakuona.
2027 ya next week 🥳🥳ukipita nishtue
We nilipita mchana live live 😹😹Sasa niambie utapita saa ngapi. We mzuri ujue.
Hahaha mimi sio expert wa picha sana 😊.2027 ya next week 🥳🥳ukipita nishtue
Mtoe bana ajeNimemfungia ndani Leo hatoki
We ni M-byuti byuti kweli 🥰👌2027 ya next week 🥳🥳ukipita nishtue
We nilipita mchana live live 😹😹
We maneno mabaya ukitaka sema who cares bro keep going
Amani itawale Wakuu 🤝
Penseli akija anazibeba km zilivyo unafunguliwa profile na kuanza kudhalilishwa..!!Ni upuuzi tu kwanza hakuna uhalisia wala nini
MashaAllah🥳🔥We ni M-byuti byuti kweli 🥰👌
Tuachane nayo hata hivyo sio muhimu..!!Ilikua ni mwaka gani na mkoa gani mkuu ?
We nae si nilikua na kuteteaAmani itawale Wakuu 🤝
For the sake of us jukwaani lazima ututumie🌸Hahaha mimi sio expert wa picha sana 😊.