ππππ usijarii kaa kimastaa.We mwenyewe nimekukosa π© Siku ingine tutakutana hapa π
Bye maa β€οΈBi mzuri my lovelysisterπ₯° binti kiziwi π
Heaven gelo Lamomy
Magical girl Chica Gee
cocastic wewe bado sijakupatia jina
Chivundu mtu ya kongo papaaa
@Supaida nyoka future shemeji π€£π€£
Guys I'm out laleni unono
Kesho nayo siku
Nawapenda sio kimapenzi
ShesRise_1 βοΈ
πΉπΉπΉ kweliBinti muongo wewe ππΌππΌ
Naitafuta hapaSi ndiooooo
Chabo kwa wote πΉπΉNilihisigi chabo tunapiga _me_tu
Ngoja siku niibuke na kipara cha Amber kabisa πΉπΉπΉPrime Amber rose ndo yeye sasa
Ukija uku wanakuita Amber rose na wanavojua kushangaa matarcleNgoja siku niibuke na kipara cha Amber kabisa πΉπΉπΉ
Engineer kumbe ni mnyama!! Nakugawia chilambo
Futa comments hii inabaki na picha.Engineer kumbe ni mnyama!! Nakugawia chilambo
Sasa urefu ulokua unasema uko wapiTunabonda na kunyongaaaa!!!!
π₯π₯π₯π₯
Huyo huyo wa wiz wa Black and yellow
Time fliesIle ngoma ya Roll up, mle kuna demu wa kuvaa kikaptula kapiga American Boot (Timberland), ile pisi nafikiri Whiz Khalifa alichukua resemblance ya Amba.... of course Whiz ni muhuni anaejua mademu...
πΉπΉπΉ JF wa kunikamata sijamuona..!!Janja janja FC, msichana mrembo ila tapeli hakamatiki kimapenzi sijui yupoje.