Selfika na JF: Snap it. Show it

Vizuri BK, urafiki ni jambo zuri. Kuna maisha nje ya JF.
Uliamini nina picha zako kweli?
Nizitunze za nini?
Siwezi kufanya hivyo hata nikitunza basi ni kwa ajili yangu siwezi kusambaza kamwe

Mimi unaeniona hapa kupitia maandishi ni tofauti kabisa na mimi halisi hii ni chitchat tu

Mimi na bi mzuri binti kiziwi tumezungumza mara kadha ila hatujawahi kabisa kumzungumzia mtu abadani na sizani kama tutapata huo muda
Sawa papa mtu ya kongo lubumbashi๐Ÿค—
 
Chuma hiki hapa sasa cha mjerumani..!! ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

Kiuno nyigu, afu wewe ilitakiwa ungetuwakilisha Miss World tuchukue taji..!!

Mtoto Kama twiga wa Mikumi, anaiona mpaka kitonga..!! ๐Ÿ˜

Em niangalizie kesho itakuwaje?
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 

Ni utani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ