Selfika na JF: Snap it. Show it

Igweeeeeeee efu tano yangu ya kiingilio nifanye uchawa kama steve nyerere.

The Monk usipokuja hapa nakupigia kesho
Elfu 5 itakupeleka wapi mate, acha tamaa za vipesa vidogo vidogo..!! ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Niweke hapo mi nakupa zaidi ya hiyo ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Em acha kumsumbua mi nakuzingua asije demu wake akatuwashia moto na sie tumlipue na mabomu kijiwe kifungwe bure..!!

Sema vitru zangu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Li monk limepoaaa
 
Terminator ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sasa id zote hizo za kazi gani?
ID za mwanzo zilikuwa 1."Maghayo" 2.Mbusususu Enthusiast akaChange ikawa "The Mongolian Savage" 3. "The stress Challenger"

Nikazichoma kwa mods IDs ya Maghayo na Stress Challenger zikala permanent ban , hapo ndipo akaja kwa hasira na ID upupu kama hizo kunikomoa ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜†

Hapa jukwaani Mimi ndiye rafiki yake mkubwa na wakati huo huo ni adui yake mkubwa kila mtu ana enjoy kumchokoza mwenzake ๐Ÿ˜†
 
Siku hizi jf mademu mmepoa?
Zamani hapo lamo unafatwa pm hapo kaa mbali na chino we mshenzi!

Sitaki hata umquote.
Huku jukwaani kidume unashangaa mbona sasa hivi mtoto ana quate kumbe kitumbua kishatiwa mchanga tiyar
Wee Thubutuuuuu sio mimi aisee..!!

Mi ukinipiga beat ndo nafanya makusudiiiii mbona maji ataita mma ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น

Bora atulie ajifanye kama haoni..!!
 
Kama ninavyolizingua Chiwawa ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ