Baaaasiiii kuna nini tena π€£π€£π€£ππΌπΉπΉπΉ nipe zawadi, lakini moyo wako upo kwa yule jamaa The monk uongo? πΉ
Kwamba?Acha masihara 32 mimi ndio maana nimekuahidi kukulea
Sio leo cha siku ya Fally πππππΉπΉπΉ kivae utupie nikione..!!
Ivo ivo jiongeze πKwamba?
Ni huzuni dah π’Tunapenda sehemu ambazo hatupendwi tunapopendwa nasi hatupapendi.
Umeishikilia hii au ni au wewe parody ya mtawaπΉπΉπΉ nipe zawadi, lakini moyo wako upo kwa yule jamaa The monk uongo? πΉ
Sawa mkikuu ulikua kimbau mbau lakini ulikua nacho bana si habaTBT 2017 hostel, Chivundu wanawake sio wote wanakuwa wazuri in their 20βs mi nilikuwa kimbau mbau mwiko wa pilau π©
View attachment 3691442
Uso tu unakudanganyaIvo ivo jiongeze π
Sijamuona le papa jamani anafuta chap anaogopa wasiojulikanaMamaaa mamaaah tunakufa huku kina binti Sayuni πππ
Papaa, Papaa, Papaa
Nimekuita mara ngapi?
Njoo vile uko na maringo mingi kumbe uko muzuri kama Fally Ipupa..!!
Inatakiwa mumama aliyekuweka kwa tumbo apewe zawadi ya kikwembe πΉ
Piga mabobo kwa papaaa π₯°π₯°π₯π₯
Cha kukalia Mnyampaa πππSawa mkikuu ulikua kimbau mbau lakini ulikua nacho bana si haba
πΉπΉπΉ Kupenda sio dhambi jiachie mateπππππ wewe mzinguaji
Huyo muokota habari achana naye hanijui anakujaza tu..!!Toka hapa kabla sijamuita Country π
Nimekutunzia maa π€Sijamuona le papa jamani anafuta chap anaogopa wasiojulikana
πΉπΉπΉ Kupenda sio dhambi jiachie mate
Huyo muokota habari achana naye hanijui anakujaza tu..!!
Mate naye apewe, nasubiri sneaker..!! πΉπΉ
Unaniwangia live live wakati mi ndo nilikua nakupa moyo unavyojiliza hapa..!! Kweli πΉπΉSomo baada ya uvumilivu ni mpe mpelelezi taarifa taarifa anavyotaka
Wakitunza zako usilie πNimekutunzia maa π€
Weka muamala chap
Uongo πΉπΉMchuchu Sina!
Ulivyo navyanzo vyako ungesikia.
Pm za wadada wa jf naziogopa
HHahaha ila nayemzimikia Leo kesho si unamjua lakini
Nilishapita tbt πUko wapiii? Mlongoo?
Kwani si wametunza π€£π€£Wakitunza zako usilie π
Sawa Boss umewakaaa!Hamna similiki hiyo biashara na sifanyi biashara Jf , namiliki hivyo viatu vipya , hapo nikawa na express feeling jinsi nitavyovaa na kanzu .
Maana napenda Raba na Kanzu nilivyo vaa pichani hapo chini π View attachment 3691447