Selfika na JF: Snap it. Show it

Anapata faida gani kwa kufanya hivyo?
 
Anapata faida gani kwa kufanya hivyo?
Atuharibie tu 😹

Siku hizi kapoa mbona, alikua hakauki kwenye huu uzi kutafuta ugomvi..!!

Akikutongoza ukimkataa anakuchamba na kukutukana..!!

Mi niliona chat zake na member mmoja wakipeana michongo ya kunila kimasihara nilichekaaa mbavu ziliniuma..!! 😹😹

Huyo jamaa anamuuliza Penseli, Yule mtoto vipi? Mi nataka nimle nimemuelewa..!!
Penseli yupo kumjaza, eti anaeleweka sema ana bwanaake Jack Palladino 😹😹😹
Ngoja nikuwekee voice naona nachoka kutype
 
Heaven baby 😅😅😅 we noma
Hivi umesomea uandishi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…