Tabia mbaya hiyoo 😹Pyeeeeee😅😅 gudubai
Waadisie ila usiongeze chumvi zakoTabia mbaya hiyoo 😹
Watoto wa wanawake wenzako hao wabless
njoo ujifiche huku kwetu mabonde kuinama tajirii yan nikikuona tu ata nikifa siku iyo sijutii kabisa 🔥🔥Kupandwa pandwa hovyo naona jau kweli…!!
Huyo mpenzi mwenyewe niliyenaye hayupo tz ni kama wote tunachorana..!! 😹😹
Kasema Dec anakuja, namuandalia kipindi cha escape from sobibo..!! 😹
Lazima nitafute safari nimkwepe, nitaenda hata mbinga kwa kina coca kujificha..!!
Hivi sijawahi kukufungulia komeo chino mpaka leo? 😹😹Fungua Ile komeo uone kama nadang'anya
Uko bia ya ngapi? 😹😹tajiri unanjua mimi naanzia wapi kukunafkia aisee, kwa ilo body tea lako la mwaka wa mbele leo nikilala lazima nikuote aisee af kesho naenda kuuza viwanja vya familia kwa ajili yako aiseee. 🔥🔥🔥
Kama nimeongeza chumvi weka wajionee..!! 😹Waadisia ila usiongeze chumvi zako
Kwenu wapi? 😹njoo ujifiche huku kwetu mabonde kuinama tajirii yan nikikuona tu ata nikifa siku iyo sijutii kabisa 🔥🔥
Nimekushindwa tabiaKama nimeongeza chumvi weka wajionee..!! 😹
Wewe weka kwanza halafu mi napita..!!Mimi nimeshapita serious.
Tuongeze nyingine mrembo kutupa nusu nusu haipendezi 😊
hela ya bia natoa wap tajiri nisikilize mimi hamna kama wewe humu JF 😂🔥Uko bia ya ngapi? 😹😹
Hizi taarifa kuwadi wako anazo?
Asije kusema nimekuroga..!!
Hahaha!Hivi sijawahi kukufungulia komeo chino mpaka leo? 😹😹
Haya leo nakufungulia njoo unichekeshe..!!
Labda pm utaselfika..!!
Ustaafu vipi wakati umeutendea haki uzi..!!Nimekushindwa tabia
Nimestaafu leo rasmi Selfika nitakua napita kuona uumbaji wa Mungu tu
huku mabonde kuinama karibu na cheka ung'atwe, karibu tajiri nambie unakuja lini nikuandalie parade la kukutoa stendi 🔥🔥Kwenu wapi? 😹
Bye Heaven babyUstaafu vipi wakati umeutendea haki uzi..!!
Weeh hakuna kustaafu, uzi tunao sana huu..!!
Vibunda vyote vile unakosaje kulewa? 😹hela ya bia natoa wap tajiri nisikilize mimi hamna kama wewe humu JF 😂🔥
pesa sina hata macho pia? aisee macho hayadanganyi. sasa leo ndo naelewa kwann kantri hakutaka kuniunganisha nawew alijua ni mbingu na ardhi 😂😂
Kweli wewe mvumilivu chino hakuna mfano..!! 😹Hahaha!
Kuna adhabu chino si staili kupewa ujue mchuchu!! imagine umri wa mtoto sasa wa miaka 7. Vizingiti ni vingi pamoja na kupass mitihani yako kwa A
Xmas 😹huku mabonde kuinama karibu na cheka ung'atwe, karibu tajiri nambie unakuja lini nikuandalie parade la kukutoa stendi 🔥🔥
G night binti mwenye mshepu wake..!! 😍😍Bye Heaven baby
Usingiziii🥱
Hapa acha nilale siongezi nenoKweli wewe mvumilivu chino hakuna mfano..!! 😹
Kesho njoo pm hii kweli kabisa, au nitakutext mwenyewe..!!