binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,669
- 46,569
Kalale mwaego, kesho una off kwani?binti kiziwi hebu mueleweshe huyu
Kalale mwaego, kesho una off kwani?binti kiziwi hebu mueleweshe huyu
Hata mimi nimewahi mng'aza ni kama Nicole Scherzinger 😄Sawa hata kama ni mshangazi, ila aache uwongo kudai hana rangi wala wowowo. Sio kweli
Muongo haswaaa, Kuna picha alitupia akiwa gym! Oyaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Mambo niyapendayo haya 😍😍😍
tatizo mapozi aisee huyo mlimbwende ana mapoz dunia nzima 😂Lamomy ni limshangazi flani hivi la kilatina 😄
😹😹😹😹 Ila mnajua kuwajaza watu..!!Hata mimi nimewahi mng'aza ni kama Nicole Scherzinger 😄
Ndio holiday mamaa😊Kalale mwaego, kesho una off kwani?
selfika kwanza tajiri salam achia watoto 😂Mambo niyapendayo haya 😍😍😍
Tajiriiii nakuja kukuamkia pm unifikirie hata kibunda kimoja 😹😹
Lamomy ni yale majimama boss afu kgs kibaotatizo mapozi aisee huyo mlimbwende ana mapoz dunia nzima 😂
body tea af pesa ziko bank 🔥Lamomy ni yale majimama boss afu kgs kibao
Pambana 😂 Uzee mwisho Kimanzichana.Acha hiyo BK, kuna picha moja hivi kakaa, kapiga kimini. Sema tuu basi siku hizi nishazeeka. Nimekwisha. 😊
Pita bas tukuoneNdio holiday mamaa😊
Nimeshapita mpaka watu wamekinai wewe unakuaga wapi kwani😅💔Pita bas tukuone
Au unasema hii? 😹😹Acha hiyo BK, kuna picha moja hivi kakaa, kapiga kimini. Sema tuu basi siku hizi nishazeeka. Nimekwisha. 😊
Nilitupia bana, subiri kesho 😩binti kiziwi ndo umenidanganya
EehNilitupia bana, subiri kesho 😩
Hizi fujo sasaAu unasema hii? 😹😹
Hapo nimejibinua tu!
MFALME WETU si nilikuambiaAu unasema hii? 😹😹
Hapo nimejibinua tu!