Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamatini pale si town kabisa tena 2011 ile stendi ilikua bado inapiga kaziπŸ˜ƒπŸ™Œ

Dodoma kuna kauli moja huwa wanasema kila mtu mbungeπŸ˜ƒ

Ndio town pale, mtaa wa NK club. Sasa mie sikuishi Dodoma, ila kwa ujana mkali wa enzi hizo, nilikuwa natoka Dar weekend naenda kula bata Dom na kijiji. Kuna shemeji yako alikuwa anasoma St. John University kule.
Basi hapo Jamatini, kuna hotel ipo ghorofani hivi, nilienda na kijiji hapo kikaagiza vya kuagiza. Bili ilikuja mara mbili ya pesa niliyokadiria na sikua nayo! 😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…