Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama kanda ya ziwa sawaaa🤝

hili nimeliona huku

Kuna sehemu hata parachichi hawali
 
Kuna batiki za kichina nimeziona nimecheka sana, rangi za batiki lakini material polyester 😀
Wakinga wamezishusha za kutosha, afu zinateleza flani..!! 😹
Tunaziita batiki msukuma..!

Kabisa ideally ni mavazi beach, cost, jamaica.
Kuna outfit hiyo kanichagulia ndo nivae hiyo siku, sasa mi ananiletea umarekani wake kwa mkinga wapi na wapi? 😹😹

Eti nivae old school outfits kweli? 😹
Nimemgomea, nimemuonyesha kimin cha leather na ankle boots kakataa eti unaenda kupanda farasi? 😹😹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…