Selfika na JF: Snap it. Show it

Kanishushua bana sina hamu 😹
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Pole.
Kuna ya dukani nimeona yametoka, wachina washajiongeza..!!
Kuna batiki za kichina nimeziona nimecheka sana, rangi za batiki lakini material polyester πŸ˜€

Sema hizo nzuri kwendea beach na kwenye Yatch party kama kivuruge wangu alivyoshauri..!!
Kabisa ideally ni mavazi beach, cost, jamaica.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…