Nauita uzi wa bahati huuUzi una heka heka huu, khaaah
Hautulii, mda wote kuchukuchuka.
ππππ
Wachaa wee!! πππNauita uzi wa bahati huu
Ibuka unipe hio hela yako naitamani hapaπ₯³πCarleen binti kiziwi Vincenzo Jr
Jamani mshakata ticket ya tar 28 kwa Fally?
Yaani hiyo siku sijui itakuwaje? Wohiii ππ
Najiona nikiimba nyimbo zake zote bila kuchoka πΉπΉπΉ
Sijui niibuke na vinguo vya nyuzi vya Mallerina πΉ
Mwambie Mallerine akushonee ka kaptula uvae na tishet ya white na raba utawakaaa.Carleen binti kiziwi Vincenzo Jr
Jamani mshakata ticket ya tar 28 kwa Fally?
Yaani hiyo siku sijui itakuwaje? Wohiii ππ
Najiona nikiimba nyimbo zake zote bila kuchoka πΉπΉπΉ
Sijui niibuke na vinguo vya nyuzi vya Mallerina πΉ
πΉπΉπΉ Kaptula ya nyuzi nyuzi..!!Mwambie Mallerine akushonee ka kaptula uvae na tishet ya white na raba utawakaaa.
Naombea Mungu nisijekuwa mawilayani huko kinirambe π
Shusha sample nichague πΉIbuka unipe hio hela yako naitamani hapaπ₯³π
Imeisha hiyoβ¦..πΉπΉπΉ Kaptula ya nyuzi nyuzi..!!
Ujue hiyo siku nna mpango wa kupanda stejini, sasa kuchekesha watu sitakiiii πΉ
Jitahidi mate hiyo siku uwepo jijini tukaimbe na mahi wetu..!!
π₯π₯ Fally ana hit song tupu..!!May day nyimbo pendwa
Wii jitahidi msanii wetu pendwa amekuja home π₯π₯Ndiyo najiwazisha hapa kama nitaweza kwenda ama la..!π
Nampenda Fally na sijui hata kama anajua..!
πΉπΉπΉ Mi naiwaza sitaki kitokee chochote cha kunizuia..!!Imeisha hiyoβ¦..
Kuna rafiki yangu yuko excited jamani siku hiyo sijui atafanyaje.
JF ina mahensamu, afu mbona km, ..........
πJF ina mahensamu, afu mbona km, ..........
Nasubiri shemeji anipe helaπ₯π₯ Fally ana hit song tupu..!!
Japo na hiyo nayo kali.
Vipi utaenda? πΉ
Uko haraka sana mganga
Duli wa mama duliJF ina mahensamu, afu mbona km, ..........