Ndani wapi ndugu yangu, mi njaa tupu..!! ๐นSalamu zimefika asee๐
Weka hata ndani kidogo tuone maisha ndio haya
astaghfirullah astaghfirullahMaisha safi tajiri na router ya Voda pembeni..!! ๐ฅ๐ฅ
Hiyo kifurushi chake cha laki 4
Unatumia Diamond mwenzetu unaunganisha mpaka kwenye ma- fridge..!! ๐น
Weee namie naja uning'ate sikio!Njoo nikupe ubuyu wa motomoto
Njoo nikung'ate shingoWeee namie naja uning'ate sikio!
Umekua vampire lini mrembo??? kuja utupie kwanza au nawe waogopa kuchambwa na rafikio????Njoo nikung'ate shingo
Santo sana Dr.! Haya bado sefi yako sasa do the needful
We si haupiti mpaka nmeona nsafishepo machoSanto sana Dr.! Haya bado sefi yako sasa do the needful
Lol nina jipya hata! Wacha nikuchekie kwakimeoMkemia nipe moya
Weeee Dr mbona umekua wamotro hivo lol!!!!
Vdole vina nini mkemiaaWeeee Dr mbona umekua wamotro hivo lol!!!!
Umebambaaa kinoumaaaaa. Wazeiya wa kuzoom Vidole hivo ๐๐๐
Nouma narobotatu dr.๐ Dakika ziroo napita kama nilivoooooooVdole vina nini mkemiaa
Mambo nayoyapenda hayaaaNouma narobotatu dr.๐ Dakika ziroo napita kama nilivooooooo
Leo cr7Barikiwa nahio dr . Namba 4 bado ipooo