Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa nikikukumbuka nacheka sana😍😂😂
Yaani nkamu uwe unapitapita kunikumbusha.
Selfika kamguu utupe hasira ya kuvaa socks
Last time umeselfika, nilivaa socks na karatasi wiki 2 miguu ikawa mizuri.🥰
Nikaacha🤣🤣🤣🤣,nimejaza socks nyingi hadi wananiomba nagawa,ila kuvaa Sasa sijui hata ilikuwaje nikaacha,,
Naridhika mapema 😹💔
Leo tena imebidi nianze kuvaa😹😹😹😹😹 sitaacha tena .
 
Hebu nielekeze namimi nianze kuvaa soksi basi..🙄
 
Kama ni hivi na mimi nianze kulala na helmet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…