spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 8,493
- 22,678
Ila akumbuke RAHA JIPE MWENYEWE by linah sangaUkipata mda jipe raha ππ₯
Mate bana ππππJamani em nishaurini nataka kuchange pic room kwangu, nataka niweke pic naked flani hivi za kwangu mwenyewe..!! πΉπΉ
Sasa wa kunipiga hizo pics ndo changamoto, sitaki mtu yoyote anipige. Nielekezeni jinsi ya kujifotoa zitoke kali..!! binti kiziwi cocastic wengine wataalmu wa photography njooni hapa mnipe maujuzi..!!
NB: Sio ile chiu kabisaa NO
Ni zile pic flani za vinjunga na top dress zile fupiβ¦ lakini za kishetani shetani..!! πΉπΉ
Leteni maujuzi sasa..!!
Hiyo code hapo juu π nimetoka kapa walahi.Pedezee la JF lenye record zake za kuhonga dollar tupu..!! πΉπΉ
Ana pigo kama PAKA yu no PAKA weyee? πΉ
Ilaaaaaaaaaa π€£π€£π€£π€£Huyo anaomba appointment kwa pesa yoyote na ukikutana naye anakutwanga EKOTITE safiii ili kutunza kumbukumbu za hapa JF..!! πΉ
Maeneo yake pendwa Morena hotel Msamvu ( Ni muda sasa Morena wamlipe kawatangazia soko) hapo pics za walimbwende wengi wa JF zipo hiyo hotelβ¦
Ni hotel ya kifahari ya kupoa babu migambuti na bebez zake kutoka jiji la JF kitongoji cha selfika..!!
Ana mipira mikali inayoshawishi warembo kujishebedua⦠ana Bentley, Audi, Rangeeeeeeee, BMW na Benz kama zote..!!
Sasa hivi ana maparody mbalimbali kamaβ¦β¦. πΉ siwasanui nitakosa risiti za kucahamgamshia kijiwe..!!
Pic za kwenye kioo sitaki, nataka zile za kulala na kubinuka..!!Mate bana ππππ
Kula kinjunga then piga mirror selfie, Mi mara nyingi napiga picha kwenye kioo sababu sinaga mtu wa kunipiga picha, ila nikienda labda sehemu ya kula namngβangβania mhudumu anipige.
Hizo sasa nimwachie mdogo wangu Coca akupe muongozo, Hizo levels za mambele mi sigusi.Pic za kwenye kioo sitaki, nataka zile za kulala na kubinuka..!!
Yani niweke pose la kiuno kipo upande, traco limebinuka binu na shingo inabembea kwa nyuma huku u- hair unapepeeya..!!
Lips zimekolea lip gloss na jicho kungu manga..!!
Nataka pic flani very romantic πΉ
Em mwaga maujuzi mengine mate.. jambo langu lifanikiwe..!!
Kijana wa makamo, mjomba flani aliyechangamka..!! πΉHiyo code hapo juu π nimetoka kapa walahi.
Ilaaaaaaaaaa π€£π€£π€£π€£
Ana balaaa huyo, ni mbabu au kijana? Na ye dollar za kuhonga warembo anapata wapi katika huu uchumi wa kati wa mama samia.
Coca mjanja kwahiyo akahepa π€£ Lengo lake lilikuwa kumpa kazi kweli au basi tu ampige picha na yeye.Kijana wa makamo, mjomba flani aliyechangamka..!! πΉ
Ana migodi pesa kwake sio za kubeep ni kupiga..!!
Kuna kipindi alimtafutia kazi coca akamwambia wakutane wapumzike rotana..! πΉπΉ
Coca em njoo umpe ubuyu mahi wetu.!.!
Nikikumbuka nacheka sana πΉπΉ
Ngoja coca aje akuchekeshe vituko vya babu miga..!!
πΉπΉπΉ Haki leo sijui nimewaza nini?Hizo sasa nimwachie mdogo wangu Coca akupe muongozo, Hizo levels za mambele mi sigusi.
Umepatwa na nini? πππ Unapenda fujo ngoja Country aje kukuchukua.
Alisema ana list ya watu wa5 ngoja akupe waty wa veggies ukome π€£πΉπΉπΉ Haki leo sijui nimewaza nini?
Bana toa idea hivyo hivyo jitahidi mate..
Huyo Kantry tapeli tu nimempa kazi ya kunitafutia tajiriii humu anashangaa shangaaβ¦ kazi imemshinda..!! πΉ
Coca alijua kinachofatia kufotoana akamkwepa πΉπΉπΉCoca mjanja kwahiyo akahepa π€£ Lengo lake lilikuwa kumpa kazi kweli au basi tu ampige picha na yeye.
Kumbe JF kuna watu wana migodi banangeee! ππ»ββοΈ
Akili mtu wangu! πππCoca alijua kinachofatia kufotoana akamkwepa πΉπΉπΉ
Coca si mjanja born hiya hiya πΉ
Hapo kwenye migodi sina uhakika lakini kwa maelezo yake..!!
Mi alinitaka nikamkataa akanichamba πΉπΉ
Babu miga anafurahisha kama sio babu yako..!!
Ila wewe mtoto maini matupuπ΅πΌPawaa pawaaa naishiwa pawaaa
Penzi lako mzani mzito naishiwa pawaπ΅πΌ
Mrare unono wapendwa
Namfurusha akija na list yake ya hovyo πΉπΉAlisema ana list ya watu wa5 ngoja akupe waty wa veggies ukome π€£
Tena naomba nitumie hio ya rangi love wavopiga simu chini picha hata hazionekani!Ninayo ya rangi sweetheart...
Babu alikua anamuwinda coca amfotoe alete risiti hapa..!! Coca akashtuka chap πΉπΉπΉAkili mtu wangu! πππ
Ukatuchambe vizuri habari na hoja mchanganyiko huko!Ila wewe mtoto maini matupu