Steve Rogers
JF-Expert Member
- Jun 20, 2026
- 549
- 1,097
Ndo nini washasamba 😃😃Nibless washasamba😎
Ongeza a kwa mbele, jua nalo kali mno yeeh!!Ndo nini washasamba 😃😃
Ohooo nipe moja kwani 😄😄Ongeza a kwa mbele, jua nalo kali mno yeeh!!
PrivateMatumizi gani tena?
Hapana my, siwez kukufanyia unafikiunaninafkia mwanetu au vipi😎
Ndio shida yetu unaombwa nawe unaomba🤦🏽♀️Ohooo nipe moja kwani 😄😄
Nistue baadae 🙃Ndio shida yetu unaombwa nawe unaomba🤦🏽♀️
Huu ndo muda mzuri wakotoka gesti hutoweza kuweka mamboNistue baadae 🙃
Hahaha unaushawishiHuu ndo muda mzuri wakotoka gesti hutoweza kuweka mambo
Nakupa code tu baadae utakuta nyomi zimeshajaaHahaha unaushawishi
Simtak actually napenda mtumish wa shetani anipe majamboz yakuelewekaMtumishi wa Mungu
Weeeh! Kumbe ni lihb toka kitambo😍Ngoja nikupe tbt 2022
Ambaye ni nani🤔Simtak actually napenda mtumish wa shetani anipe majamboz yakueleweka
We umeweka?maelezo mengiii picha hamuweki maboya nyie😁
Nimetulia namsubiri bro wa kambo anapekuwa makablasha huko na inaonekana nafasi zimejaa maana muda wote huo haoni pisi iliyo singoAmbaye ni nani🤔
mimi ni mtazamajiWe umeweka?
Kuweka yako Anhaaamaelezo mengiii picha hamuweki maboya nyie😁
😀😀 yapi hayo kwa pisi mbovu kama mimi??Private