mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 24,816
- 81,144
Sijawahi kuona mwanaume mbeya kama huyo.๐๐ mshamba_hachekwi huyu Kaka yako unamuona lakini?
๐๐โNashindwa kuwaelewaโ
Chica Tayana Lamomy Seran Saint Anne Fake P wote hao washachukuliwa
Nipe huyo Dalin mkuu aje tumalizie pesa za urithi ๐ฅ๐๐ฝโโ๏ธ
Hawajachukuliwa, wewe chagua kwa uhuru.โNashindwa kuwaelewaโ
Chica Tayana Lamomy Seran Saint Anne Fake P wote hao washachukuliwa
Nipe huyo Dalin mkuu aje tumalizie pesa za urithi ๐ฅ๐๐ฝโโ๏ธ
Amenishinda tabia ๐๐ umeiona lakini MnyamweziSijawahi kuona mwanaume mbeya kama huyo.
๐ ๐ ๐ ๐Sijawahi kuona mwanaume mbeya kama huyo.
Nipe Tayana mkuu huyo Darlin kwanza simjui af upo slow kinoma mpaka naingiwa mashaka ๐๐ฝโโ๏ธHawajachukuliwa, wewe chagua kwa uhuru.
Au umempenda huyo huyo Darlin?
Usitutie katika vishawishi
Nikiwemo au๐Ulininukuu vibaya.
Pisi kali wapo humu, niliowaona n kama watano hv
Iko wapi hiyo sijaiona.Amenishinda tabia ๐๐ umeiona lakini Mnyamwezi
Hapa sijui ni jina gani naitwa๐ตโ๐ซ
Kwani nimesemaje hapo juu?Iko wapi hiyo sijaiona.
Au unanichora tu hapa?๐
Niache mbaga, masikini mna hasira mpaka mnaboa๐Punguza njaa ww fala, zitakutokea puani kiande ww
Mbona sasa hizi tu huzitakiMm sitak kuvumiliwa, nataka unipe stress ๐
Hilo limeisha mkuu. Tayana ni mrembo sana, mpole na mstaarabu sana. Hakika umechagua pazuriNipe Tayana mkuu huyo Darlin kwanza simjui af upo slow kinoma mpaka naingiwa mashaka ๐๐ฝโโ๏ธ
Mfalme Wenu anajua kuchagua๐Ngoja kwanza mkuu MFALME WETU achague, akiangukia kwako tunamaliza kazi
Una taarifa kuwa alibadili ID? Muite aje apa tumalize mchezoHilo limeisha mkuu. Tayana ni mrembo sana, mpole na mstaarabu sana. Hakika umechagua pazuri
Hahahaa utakuwa umekunywa kakitu! Unamjuaje mtu nyuma ya ids fake?
Ww na hicho kitambi chako hapana, huwez kuwa hata top five kutokea mwisho.Nikiwemo au๐
Nazitaka ๐Mbona sasa hizi tu huzitaki
Umeniuliza kama nimeiona๐ Sijaiona jamani...Kwani nimesemaje hapo juu?