Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,916
- 10,903
😀😀“Nashindwa kuwaelewa”
Chica Tayana Lamomy Seran Saint Anne Fake P wote hao washachukuliwa
Nipe huyo Dalin mkuu aje tumalizie pesa za urithi 🔥🏃🏽♂️
😀😀“Nashindwa kuwaelewa”
Chica Tayana Lamomy Seran Saint Anne Fake P wote hao washachukuliwa
Nipe huyo Dalin mkuu aje tumalizie pesa za urithi 🔥🏃🏽♂️
Hawajachukuliwa, wewe chagua kwa uhuru.“Nashindwa kuwaelewa”
Chica Tayana Lamomy Seran Saint Anne Fake P wote hao washachukuliwa
Nipe huyo Dalin mkuu aje tumalizie pesa za urithi 🔥🏃🏽♂️
Amenishinda tabia 😂😂 umeiona lakini MnyamweziSijawahi kuona mwanaume mbeya kama huyo.
😅😅😅😅Sijawahi kuona mwanaume mbeya kama huyo.
Nipe Tayana mkuu huyo Darlin kwanza simjui af upo slow kinoma mpaka naingiwa mashaka 🏃🏽♂️Hawajachukuliwa, wewe chagua kwa uhuru.
Au umempenda huyo huyo Darlin?
Usitutie katika vishawishi
Nikiwemo au😎Ulininukuu vibaya.
Pisi kali wapo humu, niliowaona n kama watano hv
Iko wapi hiyo sijaiona.Amenishinda tabia 😂😂 umeiona lakini Mnyamwezi
Hapa sijui ni jina gani naitwa😵💫
Kwani nimesemaje hapo juu?Iko wapi hiyo sijaiona.
Au unanichora tu hapa?😅
Niache mbaga, masikini mna hasira mpaka mnaboa🙄Punguza njaa ww fala, zitakutokea puani kiande ww
Mbona sasa hizi tu huzitakiMm sitak kuvumiliwa, nataka unipe stress 😎
Hilo limeisha mkuu. Tayana ni mrembo sana, mpole na mstaarabu sana. Hakika umechagua pazuriNipe Tayana mkuu huyo Darlin kwanza simjui af upo slow kinoma mpaka naingiwa mashaka 🏃🏽♂️
Mfalme Wenu anajua kuchagua😎Ngoja kwanza mkuu MFALME WETU achague, akiangukia kwako tunamaliza kazi
Una taarifa kuwa alibadili ID? Muite aje apa tumalize mchezoHilo limeisha mkuu. Tayana ni mrembo sana, mpole na mstaarabu sana. Hakika umechagua pazuri
Hahahaa utakuwa umekunywa kakitu! Unamjuaje mtu nyuma ya ids fake?
Ww na hicho kitambi chako hapana, huwez kuwa hata top five kutokea mwisho.Nikiwemo au😎
Nazitaka 😎Mbona sasa hizi tu huzitaki
Umeniuliza kama nimeiona😅 Sijaiona jamani...Kwani nimesemaje hapo juu?