Kaprocess fulani hv 😎Mambo ndio haya sasa Chica, ndio maana nakupenda asee upo real🔥
😊 asante, mimi na nyie mpaka mnipeleke Migombani😀😀Mambo ndio haya sasa Chica, ndio maana nakupenda asee upo real🔥
We ni mpare huna chako hapo jiongeze😆Kaprocess fulani hv 😎
Kigagula kama kawaida yako, kunizibia kila upande, bc uje nikuoe ww, kitumbua wwWe ni mpare huna chako hapo jiongeze😆
Hakuna commission ni dogo langu nalikubali sanaNg’ombe hazeeki maini, jichukulie ubavu humu ishi hapo! Huyo dogo unampambania sana au kuna commission?
Siwezi kuolewa na chokoraa na unajua, andazi wewe!!😎Kigagula kama kawaida yako, kunizibia kila upande, bc uje nikuoe ww, kitumbua ww
Kwenye hizo pumba tulichambua Mabaki ya mahindi/Mpunga 🦦Mm n tofauti, nikilewa naongea pumba 😎
Mm sio mali ya nyie single mothers 😎Siwezi kuolewa na chokoraa na unajua, andazi wewe!!😎
Nipo serious mkuu. Nikupe list alafu wewe useme unapenda yupi then tufanye jambo. Nasisitiza nipo seriousKama sio kunipanga niweke chapu kabla sijafumaniwa 😁
Kumbe basi mpambanie dogo huwezi jua!Hakuna commission ni dogo langu nalikubali sana
Uzee huu unafanya niwe mvivu kuwinda, au kuna sehemu unaona nafaa nikae?
So ukaitimisha na kuniamini nilichosema?Kwenye hizo pumba tulichambua Mabaki ya mahindi/Mpunga 🦦
Takataka wewe🚮Mm sio mali ya nyie single mothers 😎
Kwani wewe ndio una access ya watu humu ndani? Ngoja umpe senge mwenzio🙆🏽♀️Nipo serious mkuu. Nikuoe list alafu wewe useme unapenda yupi then tufanye jambo. Nasisitiza nipo serious
Weka list na namba ya m-pesa mkuu punguza maneno 🏃🏽♂️Nipo serious mkuu. Nikuoe list alafu wewe useme unapenda yupi then tufanye jambo. Nasisitiza nipo serious
Ndiyo 💯So ukaitimisha na kuniamini nilichosema?
Fala nnTakataka wewe🚮
Humu wote nawajua, hawezi kuangukia huo upande wa pili(wa kina coca)Kwani wewe ndio una access ya watu humu ndani? Ngoja umpe senge mwenzio🙆🏽♀️
Naam. Wakati ni huu crush wangu. Pita nikuone.Muda ndiyo huu. Countrywide
Ameshtukia mchezo huku ndani kuna matapeli, anataka apige huku na huku lazima ukikutana nacho ujihami kidogo! Yuko sahihi, muache! Angalia kwingine..Yule bana tokea agombane na felista amebadilika sana, hata sielewi kwa nn asee. Tulikua vizuri tu lakini sasa hivi kabadilika