Umeanzaa, πππWengine mbona mnatupia tukiwa hatupo mnaogopa nini na tunawajua bila kuweka emoji..!!! πΉπΉπΉ
Em jiamininini basi eeehh..!! πΉ
Bora umefika, haya weka vitru muda ndo huu..!! πΉπΉπΉπππ uduguuu.
πΉπΉπΉ Breakfast chai ya saa tatu..!!Umeanzaa, πππ
Tayariii uduguu akeee πππBora umefika, haya weka vitru muda ndo huu..!! πΉπΉπΉ
π³π³π³Last tuezz! ππView attachment 3672262
Mda wa kazii huu uduguu, em subirii baadae.πΉπΉπΉ Breakfast chai ya saa tatu..!!
Wanatuchosha bana weeeh, mi watu tunaijua vyedi inatumalizia miti tu..!!
Nyoko nyoko nyingi oohh.! Sisi habari zetu hamuwezi kuzipata mpaka tuamue kuwapa..!! Mtsiewwww kwa habari gani??
Sisi habari zao tunazipata jumla jumla haya waje tuwape habari zao motomoto mubasharaaaaa..!! πΉπΉπΉ
Uwe muuzaji JF hafu tusikukamate thubutuuuuuu..!! Wambea oyeeeeee
Udugu uzi umetulia na umeutendea haki UMEPOAAAAAAAA π»Last tuezz! ππView attachment 3672262
Uduguu sifa sasa, mie naenda zangu kwenye nyuzi za siasa, nikakwaruane na machawa wa veggies.π³π³π³
Nyie uduguuu hii ndo picha kali ya mwaka huu selfika iwekewe lamination na ibandikwe kwenye uzi..!! πππππππ
Hii rangi kaliii mpaka sio pouwaaa..!!
Mungu kakuumba na kakupa Uzuri juu.
Baba tramu ana haki ya kuchanganyikiwa sio kwa chuma hiki..!! πππ₯°π₯°π₯°
Nimeona alooo!Tayariii uduguu akeee πππ
πΉπΉπΉ Nacheka kama mazuri..!!Mda wa kazii huu uduguu, em subirii baadae.
πππ
Aaah wapiii, πππNimeona alooo!
Uduguu una balaa sio kwa kuwaka huko..!! π₯°
πππ unacheka nini sasa nawee?πΉπΉπΉ Nacheka kama mazuri..!!
Kweli umenoga uduguu wangu..!!Uduguu sifa sasa, mie naenda zangu kwenye nyuzi za siasa, nikakwaruane na machawa wa veggies.
Nataka nikuone.Wee nae uwe unakunywa hata uji, asubuhi yote hii unafanya nini huku? πΉ
πππ uji saa 3 hii? Sahivi si ni chai jamanii.Wee nae uwe unakunywa hata uji, asubuhi yote hii unafanya nini huku? πΉ
Kweli wewe kisu mengine mashupaza πΉπΉAaah wapiii, πππ