Christine_1
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 30,861
- 44,163
Nipite niende wapi sasaSure, hufananii uongo, haya pita tena basi binti mzuri π»π
πππYale yalikuwa ni mawazo/mtazamo wa Min, hauwezi kuwa mtazamo wa kila mtu. π
Utoke huko nyuma upite hapa mbele tushuhudie uumbaji wa MunguNipite niende wapi sasa
Uongo gani tena mkuu?
Usipende kuona kila kitu mkuuUtoke huko nyuma upite hapa mbele tushuhudie uumbaji wa Mungu
Kwanza wewe sio vingine, pili vingi vimenipita ndo maana nang'ang'ana na hikiπUsipende kuona kila kitu mkuu
Vingine vikupitege
Kwa kheri ya kuonanaKwanza wewe sio vingine, pili vingi vimenipita ndo maana nang'ang'ana na hikiπ
Tena nakazia comment yake niliiona... eti unafki hawauwezi ulisha washindaπππ
We uliye comment kuwa kuna unafiki sahivi unaruka
πππ
We uliye comment kuwa kuna unafiki sahivi unaruka
Chivundu sitaki ukorofi bana πUnafiki wetu upo kwa watu wabaya, wewe, ShesRise_1, binti kiziwi ni wanawake warembo. Kuhusu ule uzi wewe hukuulewa ulikuwa unamlenga mtu flani. π
Chivundu sitaki ukorofi bana π
Mi nakutania tu babu yangu
Siwezi vawulensi uwiiiiiπ’
Kila la kheri kwenye kupata picha yangu ndugu mkongomani π€£π€£Mimi na wewe hatuwezi korofishana, kabla ya huu uzi, tumekuwa na nyuzi nyingi tunataniana. Ila picha yako nyingine mpaka nitaipata tuu!
Asante dadaππTena nakazia comment yake niliiona... eti unafki hawauwezi ulisha washinda
KumbeUnafiki wetu upo kwa watu wabaya, wewe, ShesRise_1, binti kiziwi ni wanawake warembo. Kuhusu ule uzi wewe hukuulewa ulikuwa unamlenga mtu flani. π
Kila la kheri kwenye kupata picha yangu ndugu mkongomani π€£π€£
Kumbe
Uzi ulikuwa wa mtuπππ
Labda kwa wale watunza ma file utapata huko mzeeHiyo nitapata bila shaka, ni suala la muda tuu! π
Labda kwa wale watunza ma file utapata huko mzee
Zisake mwenyewe mkuu βοΈNdio nakwambia sasa! Ni bora ukanipa mwenyewe kuliko nikaamua kuzisaka kwa watunza mafaili. π