ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 18,654
- 43,712
Umechukua acha kuvunga π€£π€£Shes, sikuchukua ile picha, niliiona nikaicha hapa hapa.π
Unawajua wakongomani wewe kipenziπ’π’π€£π€£
Exactlybinti kiziwi kama hiyo yako hapo kukufikia ni dk zero kabisaa π π sasa weye shupaza shingo siasani, jamaa wajipatie mali safii
Unaona mambo yako? π€£π€£π€£ Ili mradi nife kwa pressure!Tayari mama Bango hilo watu wa IT shwaaaaπ€
πππππBinti kama huyu anawezaje kuwa kiziwi!, mkuu una utani na huo uzuri sio!
Hamna ustarabu wowote ule π€£π€£Sasa ukongomani unakujaje? Kuwa mkongomani haina maana usiwe mstaarabu! π
Na ile michezo yao nomaaaaa! πππbinti kiziwi kama hiyo yako hapo kukufikia ni dk zero kabisaa π π sasa weye shupaza shingo siasani, jamaa wajipatie mali safii
Yoooo π₯Ήπ₯Ή ninavyokupenda ya rab naanzaje mimi π€π€Unaona mambo yako? π€£π€£π€£ Ili mradi nife kwa pressure!
Watakufilimba π€£π€£ ohooooNa ile michezo yao nomaaaaa! πππ
Watakugombania kwekweliπ πNa ile michezo yao nomaaaaa! πππ
Hamna ustarabu wowote ule π€£π€£
Kazi kula popo
Safiii ulimtukana kwa ung'eng'e au π€£π€£Nilimtukanaaaa! Imagine ile issue ya october ilivyokuwa moto halafu mtu anakuja kuniuliza kama namjua huyo jamaa!
Watu tumetoka kulia huko anataka humu JF tuchomane.
Lakini mimi nimewakosea nini?Wakufilimba π€£π€£ ohoooo
πππWakufilimba π€£π€£ ohoooo
Unatuona kama mat... yako eti eehππ₯Έ! Wewe mwenyewe unajua kabisa kwamba ni kisu ila unavyovunga sasa ππ!πππππ
Akili yako inakwambia mi sijui matusi, nimekulia singida kwetu uswahilini kabisa πSafiii ulimtukana kwa ung'eng'e au π€£π€£
Nafanana na Ndalichako copySawa, sasa na wewe tuone picha yako sasa! Naamini wewe ni binti mzuri pia.
Nashindwa kuaelewa π€Akili yako inakwambia mi sijui matusi, nimekulia singida kwetu uswahilini kabisa π
binti kiziwi mzuriiiii kama nini π₯Ήππ