😹😹😹 Uliniangalia vibaya mi cheusi hafu shapeless..!!ana rangi ya mtume na ki shape juu, aliwahi post vitu vyake kipindi flani hili likiwaga ni jukwaa langu pendwa..!
kiruuuuu..!😁😁😹😹😹 Uliniangalia vibaya mi cheusi hafu shapeless..!!
Ndio plan zako kumbe 😹😹Tulia namchokoza ili atuvimbie hapa.
Fanya jambo uduguu 😍Ngoja kwanza ki itel changu kimezingua kwenye settings ya picha ndo nakiweka Sawa hapaaa kikikaa Sawa chap nakuita!
😹😹😹 Umemiss kusikia base?Haya basi voicika tupate kusikia sauti ya mahaba.
😥 Hapana rudianeni nyie ni couple yangu pendwa ni watu niliokuwa nawakubali sana..!!of course ni mtu poa mno..!
ila kuna mambo kuna wakati huwa ni lazima yafikie tamati, I guess that’s how life works..!
😹😹😹 Kweli tena..!!kiruuuuu..!😁😁
huwezi ongopea mpaka wifi yako bhaana..!
kuna mambo hayawezekani tena mama angu mzuri..!😥 Hapana rudianeni nyie ni couple yangu pendwa ni watu niliokuwa nawakubali sana..!!
hahaa kuna kapicha bwana ulikarusha May 2023.😹😹😹 Umemiss kusikia base?
Kitu ambacho hakiwezekani ni kurudisha uhai tu! Mengine yanawezekana..!!kuna mambo hayawezekani tena mama angu mzuri..!
it’s so sad..!😒
Hilo la kukaa chini kuelewana, tulilijaribu na ikashindikana pia wifi yangu mzuri..!Kitu ambacho hakiwezekani ni kurudisha uhai tu! Mengine yanawezekana..!!
Rudianeni, kaeni chini muelewane..!
Mi nawapenda kweli tena wifi.
Mbona bado mi church girl 😹hahaa kuna kapicha bwana ulikarusha May 2023.
kapicha flani unaangalia pembeni kama kwa aibu hivi halafu umevaa ki-church girl
kapicha hako kalinisumbua sana
enzi hizo lamo ni mpole na mstaarabu
Nitakucheck pm hapa sio sehemu sahihi pa kuongelea haya wifi yangu..!! 😥Hilo la kukaa chini kuelewana, tulilijaribu na ikashindikana pia wifi yangu mzuri..!
Hamna, ila ilikuwa picha flani hivi ya kushtua.Mbona bado mi church girl 😹
Ko ulikuwa umekahifadhi mwenyewe..!!
Mi vibuyu worldwide kweli oohh..!! 😹Hamna, ila ilikuwa picha flani hivi ya kushtua.
hahaa church girl gani wa vibuyu worldwide?🤣
Safi bwashee kumbe bado madogo kabisaMiganga Mikuu himuselufu.View attachment 3650771
38 .Safi bwashee kumbe bado madogo kabisa