Selfika na JF: Snap it. Show it

Mlioselfika wote rudieni nione basi 😹
Naona misifa mingi, wekeni tuone huo uumbaji…!!
 
Wifi nimeona 😍
Leo nimekubamba Mrs Engineer 😍😍
Wachaga wazuri bana 😘

Usiku wangu utakuwa pouwa sana..!!
Rangi ya mtume imependezesha hadi simu yangu..!!
 
Wifi nimeona 😍
Leo nimekubamba Mrs Engineer 😍😍
Wachaga wazuri bana 😘

Usiku wangu utakuwa pouwa sana..!!
Rangi ya mtume imependezesha hadi simu yangu..!!
Tuoneshe na wewe rangi yako nyeusi tii mkuu.
 
Wifi nimeona 😍
Leo nimekubamba Mrs Engineer 😍😍
Wachaga wazuri bana 😘

Usiku wangu utakuwa pouwa sana..!!
Rangi ya mtume imependezesha hadi simu yangu..!!
πŸ˜‚πŸ˜‚
upo speed wifi yangu..!πŸ™ŒπŸΎ
tchaaaah’..! mambo ya engineer wacha kwanza kidogo tafadhali, if you know what I mean..!😌
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
upo speed wifi yangu..!πŸ™ŒπŸΎ
tchaaaah’..! mambo ya engineer wacha kwanza kidogo tafadhali, if you know what I mean..!😌
Nimekuwahi 😹

Tunamuachaje engineer tena?
Nini kimetokea? Unajua ninavyomuelewa Marc ni mtu pouwa sana..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…