Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaita kidali! Akitegesha unalalia ila sisi wenye kg zetu dk 0 utasikia "inuka kidogo unaniumiza"
Kweli vijana wanafaidi, sisi mwaka 47 kwenye vitanda vyetu vya kamba hakukuwa na hizo mambo

Kitendo cha bibi kuja juu ilikuwa ni kwa tahadhari 🤪

Koh koh koh 🏃🏃
 
Hawapo kwakweli...!!! Wengi ni wapyaaa kama si wapya ni walewale kivingine!!

Si kama kile kipindi

Kipindi cha amani umoja na upendo

Kipindi cha furaha na utulivu


So many things have changed!
Nami nililega kdg hapa kati, hata hujanicheck kule ujue nipo hai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…