Si ndio bwasheeBwashee waambie bata lipo huku .
Hawa siwataki niko zangu njiani kwenda moro kumuona mwanaume😆Wazee wa kiepee na mayonaiza😅
Yeah...misuli flani inahamasisha eti!Hamna ila babu anatakiwa kua na mkono wa kumtia roba mgoni wake
I'm starving 😫 🥵😍
Wanaita kidali! Akitegesha unalalia ila sisi wenye kg zetu dk 0 utasikia "inuka kidogo unaniumiza"Yeah...misuli flani inahamasisha eti!
U craving my selfie😝🤸🏽♂️I'm starving 😫 🥵😍
Lot 🥰😍U craving my selfie😝🤸🏽♂️
Mweh nimepitwa niko hapahapa nashamala lol!!
Tutakutana jioni sasa😁Mweh nimepitwa niko hapahapa nashamala lol!!
Kwa hiyo sisi wa daslamu wanawake sio😅Hawa siwataki niko zangu njiani kwenda moro kumuona mwanaume😆
Ntakuhamishia gallery usijali💃🏽Lot 🥰😍
Mtajijua wenyewe huko😂Kwa hiyo sisi wa daslamu wanawake sio😅
Haipo , hapa ni uzi wa kula matunda kimasiharaSelfika bado ipo?
Khakhakhaaa!! Nakukubeba/ kukunyanyua.Wanaita kidali! Akitegesha unalalia ila sisi wenye kg zetu dk 0 utasikia "inuka kidogo unaniumiza"
Dahhh!! Ntapigwaje na jua kutwa nzima mimii!!Tutakutana jioni sasa😁
Kweli mjukuu hunipendi babu yako, umri huu ninyanyue chuma si nitavunjika mifupa nikose spare 🤪Babu! Nyanyua chuma hata kidogo
Subiri nifanyie kazi hapo kwenye kibonge mwepesiKhakhakhaaa!! Nakukubeba/ kukunyanyua.
Hakikisha unakua kibonge mwepesi ili mwende bampa to bampa bado yanki sana weye !😄
Ipo sana kigi. Fanya manuva utublesSelfika bado ipo?