Masai dada alikuwa anamponda dr Mari kuhusu kublendiana..!!Kuna nini? [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee mie nazipenda,nazitafuna sana.Mlongo, karanga za kuchemsha huu ndo mda wake, pale soko kuu wanauza kwa mafungu. Bei chee hatarii.
Bado upo hapo nije tupate gahawa?
Nimepita one time, nikirudi Dom nitakuchekiBado upo hapo nije tupate gahawa?
Nami nawahi huko katika viwanja vya amani makoro kuwahi maonesho ya nane nane. Karibu mzee wangu.Nimepita one time, nikirudi Dom nitakucheki
Ngoja niupeleke huu mwili gereji hapo Benjamin Mkapa hospital
Alikua anasutwa kisa nini tena? Also a finding anya yepii?Uduguu kulikuwa na varangati sio la nchi hii..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Dada subahi alikuwa anasutwa jana na dr mari [emoji81][emoji81]
Uduguu sasa kwanini hukunitag jamaniii? Nimeumia mno kupitwa na hilo varangati Aloo.Masai dada alikuwa anamponda dr Mari kuhusu kublendiana..!!
Sasa imejulikana naye Masai dada ni mdau lakini baadaye akaamua kuzuga kwa kumuomba msamaha baby wake ambaye Miongozo [emoji81][emoji81][emoji81]
Sasa dr anasema kwanini anajinafkia mpaka yeye mwenyewe Masai?
Tena ni tamu sana mlongo, sema wengine hawazichemshi vizuri aloo.Aisee mie nazipenda,nazitafuna sana.
Wengine hawaziivishi vizuri.Tena ni tamu sana mlongo, sema wengine hawazichemshi vizuri aloo.
Ena wenga.Wengine hawaziivishi vizuri.
🤣🤣Coca,,,eti Ena🤣🤣🤣Ena wenga.
Kumeanza kuchangamka.Lamomy
Uduguu, kumbe ndo varangati lilikua lile? Mbona sio jipya, afu nilipewa wakati niko nje ya JF,
Ila JF jamani, Mr Mio ana dunia yake wanawake kutwa kujigonga kwake, au hizo faranga anazogawa mahi? Afu unaambiwa ana coward wake humu wa kumpasia upendo na cross. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mabwakuuu. Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Mlongo, [emoji23][emoji23][emoji23]Kumeanza kuchangamka.
Pita ,sitasema pakikuchanipite zangu uchi saivi hakuna mtu
pita na wew, na mimi sitosema popote😋Pita ,sitasema pakikucha
Shida picha nazitolea wapi mimi ? Natumia batani ndugu labda nipige haya maluwe luwe tupita na wew, na mimi sitosema popote😋