Hiyo ya kula miwa barabarani , haina shida kabisaNo. 6 imenifanya niwaze mbali sana🤣
Ila huyu Seroo huyu!
Na hapo sijasema vyote! Huyu akishuhudia atakuja kunitangaza humu!😆Hiyo ya kula miwa barabarani , haina shida kabisa
Hiyo ya kuongea kama konda nakataa katu katu.Na hapo sijasema vyote! Huyu akishuhudia atakuja kunitangaza humu!😆
Unakataa tena! We kumbe hujaona vyote! Na nikikupiga banzi sikio linalia 💤 😁Hiyo ya kuongea kama konda nakataa katu katu.
Sioni cha kutangaza kwa ubayaNa hapo sijasema vyote! Huyu akishuhudia atakuja kunitangaza humu!😆
Hichohicho tuSioni cha kutangaza kwa ubaya
Kula miwa safi sana unatapanya maganda barabara nzimaHichohicho tu
Be humble.Na hapo sijasema vyote! Huyu akishuhudia atakuja kunitangaza humu!😆
Natapanya au narusha na kutema hovyohovyo tu😁Kula miwa safi sana unatapanya makanda barabara nzima
I am.Be humble.
Be calm.Unakataa tena! We kumbe hujaona vyote! Na nikikupiga banzi sikio linalia 💤 😁
Finally you got now inner peace. Selfika!I am.
Are u high or somethin’?Be calm.
Haha never!Finally you got now inner peace. Selfika!
Mie mzima,Mungu ni mwema,katoro wazima?Poa mamaa mzima ww?
Wazima huku bado tunasheherekea harusi ya tajiri la katoro😀Mie mzima,Mungu ni mwema,katoro wazima?