Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 3,355
- 9,427
Utabaki mdomo wazi 😅, sema acha tuishi humosikuchukilii ila wew ni mdogo kwangu amini kwamba😎
Utabaki mdomo wazi 😅, sema acha tuishi humosikuchukilii ila wew ni mdogo kwangu amini kwamba😎
Natutakua kweli , wachaga halisi huwa hatuchekeshi mamamaeSitakiii sipitiii niuwenii 😆😆
Min hiyo bia iwe ya mwisho zima simuNatutakua kweli , wachaga halisi huwa hatuchekeshi mamamae
Nyambaff.Hapana siwezi 😅
Natupia ngoma , ila nawa tag mababy zangu naruhusiwa?Maneno kidogoo picha kwa wingiii 😅, kama kuchangamsha uzi tayari nimeuchangamsha
Tunajipa umuhimu tu.Bwashee sisi wachaga ni V.I.P duniani kote akina mbuta nanga wanakimbiza vibaya sana UK 🇬🇧 tena hapo nimekuonea huruma sana🤗
Sio kweli mimi nakula pombe , nasifanyi fujo ila sinywi pombe nafanya fujo , tulia katoto kadogoMin hiyo bia iwe ya mwisho zima simu
Unakaa na wachaga mafala, kwenye viwanja vyetu vya pombe kuna wachaga wamechekea chooni show ya katoro , jitambue dogo🤣Tunajipa umuhimu tu.
😭Nyambaff.
Angalia kesho usikimbie uziNatupia ngoma , ila nawa tag mababy zangu naruhusiwa?
Sawa yangu macho 😅Sio kweli mimi nakula pombe , nasifanyi fujo ila sinywi pombe nafanya fujo , tulia katoto kadogo
Ukiona nakosana na mtu wewe jua tu, huyo mtu ana makosa na sio mimiSawa yangu macho 😅
pinned☺️Utabaki mdomo wazi 😅, sema acha tuishi humo
Angalia Indian Tanzanians. No flex. Watu wanaendesha nchi ila wamepoa.Unakaa na wachaga mafala, kwenye viwanja vyetu vya pombe kuna wachaga wamecheka show ya katoro , jitambue dogo🤣
Sawa sawa nimekupataUkiona nakosana na mtu wewe jua tu, huyo mtu ana makosa na sio mimi
Nimecheka mpaka nimepaliwa hapa.sikuchukilii ila wew ni mdogo kwangu amini kwamba😎
📌pinned☺️
Bwashee, acha hizo, wachaga tumetoka kwenye biashara za kuchuuza , tunazalisha now labda nyie madogo wa kariakoo waminya chunusi meku, ambao tumewaachia wakinga wawatoe kamasi mjifunzeAngalia Indian Tanzanians. No flex. Watu wanaendesha nchi ila wamepoa.
Cheki michaga kazi kulewa na kubadili wanawake. Ujinga tu.
Vi-gen z vina dharau acha tu🤦🏾♂️Utabaki mdomo wazi 😅, sema acha tuishi humo