adriz de mbusii
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 16,786
- 37,803
That's maturityHmm hapana nimegundua tu sio size zangu hizi wacha niwe mtazamaji, hata sitaki kujihusisha na vita vya kipumbavu mimi!
Jana nimekesha mitaa yako, SijakuonaNiangalizie tu atakayefaa kwa matumizi si unajua vigezo vya dogodogo mkuu😁
Sasa ungenionaje mkuu😄Jana nimekesha mitaa yako, Sijakuona
Ile timu balaa na wewe unatokea winga ya pembeni lazima usande 😂 😆Dah acha tuu kaka wakivalia njugu hutoboi😃
Watu wana vipaji vyao maalumu eeh🤣 muwe mnanitag napenda haya mambo mimi🤭Ile timu balaa na wewe unatokea winga ya pembeni lazima usande 😂 😆
Ile timu balaa na wewe unatokea winga ya pembeni lazima usande 😂 😆
Watu wana vipaji vyao maalumu eeh🤣 muwe mnanitag napenda haya mambo mimi🤭
Umechagua fungu la kukosa mkuuNishachagua😂
Yamal
Daaah,wamefunga??Umechagua fungu la kukosa mkuu
Bado bila bila mkuuDaaah,wamefunga??
Hapo sawaBado bila bila mkuu
Imekua kama zali tu nikakutana na kitu kama kilivyouko fasta