Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwenye huu uzi bila kuwa mchawi mchawi au element za umbea utaishia kuona text useless. Halafu unatakiwa kuwa mkimya ili usiharibu mipanga ya wanaotaka kupita naked 🙌.
Kulikuwa na uzi Jf wa kupita naked , Uzi Maalumu wa kutuma picha halisi humo members wengi waliruka live bila kufuta mpka nikawa siamini muanzisha Uzi alitumia dawa gani ?

Na Mimi humo niliruka live naked picha mbili , ikapita kama miezi hivi nikapata nikaurudia ule uzi nikafuta picha zangu zote 😂
 
Hebu nitag huo uzi kwanza..🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…