Fantasy Yako
JF-Expert Member
- Jun 29, 2026
- 383
- 973
Huu ubuyu wauanzishe wenyewe nishushe pdf la voice πΉπΉπΉKinukishe basi ππ
Watu wasikae kizembe zembe humuu kama tupo msibani
Hapa nichukue zangu korosho na kahwa nikae nikitazama mtanange watu wakitoana kamasi
πππ nimetoa mandevuUnavyopenda umbea πΉπΉ
Em selfika nikuone kwanza afu tuanze umbea sasa..!!
πππ Watu watashika matumbo ya uzaziHuu ubuyu wauanzishe wenyewe nishushe pdf la voice πΉπΉπΉ
Ubuyu unaniwasha huu, jamani waungwana si mje myamwage wambea tulale unono..!! πΉπΉ
Mashallah!! ππππ nimetoa mandevuView attachment 3622714
πππMashallah!! π
Kijana muhanshamu umepoa lips laini za kufyonza..!! π
Bongo Ina wanaume bana..!!
Weka full basi tuone uumbaji π
Wee Nomadiq em njoo unionyeshe komwe lako..!! πΉπΉ
Tupia basi nikuone kichogo πΉNgoja nilale nikue π₯²
πΉπΉπΉ Wanaviziana wa kulianzisha..!!πππ Watu watashika matumbo ya uzazi
au jf huwa inakuwa ndogo kama kiberiti ..
tuwashe moto watoke wenyewe π π
π π kuna mmoja atavuka mstari mwekundu, watalipuanaa wazi wazi sie ni kula tu korosho na maziwa ya ngamiaa tukiona mtanangeπΉπΉπΉ Wanaviziana wa kulianzisha..!!
Lips zenyewe kabisa π»πππ
Lips dendaaa
Kuna mahala nilipita nikiwa nimevaa hivyo, na ninahisi wale watu wapo Jf wakiona full wanaweza unga dots nikafanya watu washike kichwa na kulia πππ
Wanaogopana ila 8/8 hawafiki lazima wakiwashe..!! πΉπ π kuna mmoja atavuka mstari mwekundu, watalipuanaa wazi wazi sie ni kula tu korosho na maziwa ya ngamiaa tukiona mtanange
Tuma nikuone ππ
Mtsiewwww π
π π hii enzi nipo udogoni, sina picha ingine humu sikaagi na vizibitiLips zenyewe kabisa π»
Achana nao em weka nyingine basi..!!
Njoo nikukojolee nilale π₯²Mtsiewwww π
ππ kila mtu ana file chafu la mwenzakee .. tuwashe moto tuuuWanaogopana ila 8/8 hawafiki lazima wakiwashe..!! πΉ