Selfika na JF: Snap it. Show it

Maka unakula mpaka mashangazi 😹😹

Hadi za kimakonde umepita nazo? 😹

Nnode ndo nini? 😹😹😹😹
Mtafute mmakonde akutafsirie.. πŸ€£πŸ˜‚
Mie aliniambia nnoda ni mdudu fulani hivi ana kasi balaa.. ile kasi ilikuwa kubwa sana kwake, akajikuta anaropoka..
Kama nnoda, kama nnoda.. πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
Sasa vile anatamka hiyo "kama nnoda" mie hoi kwa vicheko

Mishangazi ndio yenyewe, asikwambie mtu, sasa mimi nikatembee na under 20, si hata FIFA itanifungiaπŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 mambo nayopenda kusikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…