Selfika na JF: Snap it. Show it

Mwanaume mfupi kama kikombe cha kahawa aiseee

Vipi kiunoni ni mfupi pia 😁😁😁
 
Huu uzi sikuwahi kuupa umuhimu wowote,hivyo nilikuwa napishana nao kama ambavyo huwa napishana na uzi wa watu wa kubet

Kuna siku moja nikasema ebu niingie humu japo kwa bahati mbaya,nakuta watu wanalalamika hawajaona hawajaona,kumbe huwa mna display mambo flani flani

Ombi maalumu kwa Seran , win-one na ShesRise_1

Mkidisplay hayo mambo ebu mnitag hata kwa bahati mbaya tu!!! Am just curious that's all homies​

 
Hahahaha ukahisi ni kuoneshana mbunye sio? Huwa hatudisplay kwa mtu ambaye hadisplay! Haya weka vitu hapo mkuu!
 
Niliona ulisema kwenye uzi wako mmoja maza yuko Malawi. Ulibwanji 😹
Ndili bwino kwambiri udugu wangu
Sio Malawi tu nina mchanganyiko fulani ambao mimi mwenyewe nachanganyikiwa😅😅

Usinichimbeeeee ebooo
 
Kaa chonjo kijana kuna mafoto humu ya kumwaga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…