Selfika na JF: Snap it. Show it

Maka mwanya huo 😍😍
Maka lizuriii nyie πŸ₯°

Mineno yako na ulivyo vitu viwili tofauti 😹
Naomba na mimi unachokula.. πŸ˜‹
 
😹😹😹 Wewe hb shida iko wapi hata ikibaki humu maka..!!

Network ya kicenge sana kuna siku na mimi yakinikuta bhana..!!
πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila sio suala saaana, maisha yangu hayana privacy kiasi hiìiicho, ndio maana huwa siogopi kupita naked
 
A

Acha uibilisi wew
Mkaka mzuri wewe 😍
Halafu nilijuaga maka ungekua mtu mzima flan mbaya..!! 😹😹

Kumbe hb la mwaka wa mbele..!! 😻
Kale kamwanya kale ningekapata wangenikoma 😹😹
 
Mweh shepu nitoe wapii... ! Nkipiga ntawaita na ambishen
Bila unafki hakuna anayekuzidi kwa shape mama miongz..!! 😍😍

Hata waungane wake wenzio wote meyooo 😹😹

Hilo shape la sanchoka hata mama Paula haiingii..!!

Uniite nasubiri, huyu Ambition plus sijui mshangazi gani umemteka huko?? 😹😹
 
Hapana ni engo ya camera tu inanijaza

Haya do the needful usiku wangu uwe mzuri pulllliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiizzzzzzzzz
 
Hapana ni engo ya camera tu inanijaza
Mi uduguu wangu wewe nakujua vyedi sijakujua jana..!! 😹

Hilo shape narudia tena hakuna JF 😍
Hata kulielezea nashindwa naona km sitolitendea haki..!!

Kuna siku ulivaa baibui lakini bado mzigo ukajitokeza..!! Shem anafaudu kiukweli πŸ₯°πŸ₯°
 
Weee ndo una gushepu momi hebu fanya kunibles kwanza. Mie shapeless tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…