Selfika na JF: Snap it. Show it

Huenda ilikuwa ni menu maalumu kwa wageni wao

Kama una mtu DSM mwambie wakupakilie kwenye sgr, ni mwendo wa kusubiri dakika 120 tu

Naamini hotel kubwa kubwa za hapa mjini watakuwa wanapika kwa oda
Nishapata wanapouza nimewapigia simu wanao najiandaa kujilamba tu usiku

Selikavu asante nimewapigia simu wanao panaitwa Arabian mishkaki
 
Dah 🤣🤣 babu umejua kumshauri
Labda ukute anategemea kutuletea vitukuu (mama kija)

Nakumbuka kuna ujauzito fulani wa Bibi yenu, alikuwa anataka chakula fulani Kinapatikana DSM pekee na wakati huo tulikuwa Mkoani

Bahati nzuri nilikuwa na cabin crew nafahamiana naye wa shirika fulani la ndege, ndiyo nilikuwa namwagiza 🙌

Akipendacho binti.......🤗
 
Babu mimi chai zako za moto🤣

Akipendacho binti mwanaume lazima atanunua🤣

Kwahiyo ndio kusema mtaka urojo tayali😎
 
Babu utaniudhii😂
 
Babu mimi chai zako za moto🤣

Akipendacho binti mwanaume lazima atanunua🤣

Kwahiyo ndio kusema mtaka urojo tayali😎
Sio rahisi hamu ya urojo ije kirahisi hivyo bila kuwa mama kija 😅

Hata kama huna, lazima upambane kumpatia hicho akitakacho
 
Sawa we mtu mzima unayajua mengi😎
Tumekula chumvi nyingi 🤭
Maujanja nimeyapata ya kudeka bado mimba
Ndiyo ukute mimba imeingia, badala ya kutaka vitu vitamu vitamu kama ephen_ wewe unatamani kunusa harufu ya jasho lake tu

Hapo anakuachia singlend yake, unabaki unainusa yeye akienda kazini 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…